LURIGA JF-Expert Member Joined May 26, 2013 Posts 2,436 Reaction score 3,723 Oct 18, 2019 #41 This is a dedication to everyone! Hata Mungu mwenyewe hapendi uchafu kuanzia uchafu wa roho hadi wa mwili. Hivyo tunatakiwa tujitakase muda wote!
This is a dedication to everyone! Hata Mungu mwenyewe hapendi uchafu kuanzia uchafu wa roho hadi wa mwili. Hivyo tunatakiwa tujitakase muda wote!
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 Dec 6, 2019 #42 Muwaache waliookoka wafurahie maisha yao
Bonde la Baraka JF-Expert Member Joined Sep 22, 2016 Posts 4,580 Reaction score 7,943 Dec 6, 2019 #43 Hamna, walokole hawako hivyo, sema tu kuna imani mpya zimeingia zinafundisha hayo mafundisho ya ajabu na ziko chache sana
Hamna, walokole hawako hivyo, sema tu kuna imani mpya zimeingia zinafundisha hayo mafundisho ya ajabu na ziko chache sana
Tabutupu JF-Expert Member Joined Nov 26, 2010 Posts 13,206 Reaction score 18,549 Dec 6, 2019 #44 Waache waende mbinguni mkuu.. kama wameridhika na safari yao .. unawashwa wewe.@koncho77,
ushoroba wa kati Member Joined Aug 12, 2019 Posts 88 Reaction score 98 Dec 6, 2019 #45 Sasa katika lile sakata la kisulisuli si nikajiendea kujionea mwenyewe huko mlima wa moto!! Yeleuuuuuwiii....wale hata aje yuda eskarioti kuwaombea hawatopata mwanaume wanayemuhitaji. Mwanamke mapambo banaa..! Aagh!
Sasa katika lile sakata la kisulisuli si nikajiendea kujionea mwenyewe huko mlima wa moto!! Yeleuuuuuwiii....wale hata aje yuda eskarioti kuwaombea hawatopata mwanaume wanayemuhitaji. Mwanamke mapambo banaa..! Aagh!
paul meek Member Joined Dec 13, 2019 Posts 24 Reaction score 66 Dec 14, 2019 #46 koncho77, Hahahaha hatari hiii kweli Sent using Jamii Forums mobile app