Mabinti wa Kimanyema wako je?

Mabinti wa Kimanyema wako je?

Tembomtata

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
266
Reaction score
426
Naomba mnisaidie wana JF,hawa mabint wa kimanyeama wanatabia gan?
 
Hebu jaribu kumuonja ana ladha gani. then utuambie wanaume tunamalizia.
Kabila la Manyema ni moja ya kabila ambalo bado sijapitia, kumbe ni moja ya makabila 120 bongo ee!
 
Umepata mchumba wa kimanyema nini? Binadamu huwa wanatofautiana tabia hivyo ni ngumu sana kuwajaji
 
wako kama binadamu wenginena wana tabia zinazifanania binadamu wengine.kwani umeambiwa wanafanania sokwe wa kike au nyani?
 
Tuko wapole, watiifu, waaminifu na tunapenda familia zetu sana
 
Nasikia wanajua majambozzzzzzzzz kama watoto wa kitanga!
 
Nasikia wanajua majambozzzzzzzzz kama watoto wa kitanga!
ACHA KUPOTOSHA JAMII WEWE TABIA INATEGEMEANA NA INDIVIDUAL also "Tanga nimekaa miaka 5. Tofautisha Kutojidhamini kwa mwanamke na kugawa sana siyo kujua mapenzi ila itabakia kuwa Pwani wana handle mapenzi tofauti sana na watu wa Bara"
 
Tuko wapole, watiifu, waaminifu na tunapenda familia zetu sana

Hapo kwenye red ni TATIZO KUBWA SANA KULIKO hata la umasikini wa Tanzania. Sasa huyu akiwa mke hao ndugu wa mume au familia ya mume si itakuwa kuchukiwa sana!
 
Ukisikia mtu anajiita Mmanyema basi ujue huyo ni Muha.
 
wewe kweli ni mmanyema? usije kuwa ni mkongo ukajiita mmanyema kama waha wengine walivyo warundi lakini wanajiita waha.

kauli kama hizi huwa zinanikera...basi tu!si wote wa-tz bana mambo ya kuitana wageni wageni tunaanza hadi kubaguana sasa.mbona rostam mnamwita mtanzania safi!!?huh!
 
Back
Top Bottom