Mabinti wa leo

Mabinti wa leo

Kumbe unajua eeeh!? Hivi kweli unakubali shetani akamate kichwa chako mpaka unamwaga maneno hayo??

Hapa unazungumzia kichwa gani mheshimiwa? Ai miini kichwa cha nani?
 
hii thread ina maneno ya ukweli ila haiweki way forward,unataka sisi wanawake tufanyeje raia fulani?kila mtu ana atakacho kwa mwanaume,sasa mwanamke akiona atakacho asishawishike jamani,kushawishika kirahisi ndo kupi?kuhusu kukubali mwanaume mmoja wote watatu,hiyo ni uamuzi wa mtu,wapo wanawake wanajiweza tu ila hawaoni shida kuwa wanne kwa mwanaume mmoja as long as wanaridhika naye.....hilo la wanaume kuwa wadadisi na wenye subira,nafikiri unaota au huwaelewi wanaume walio wengi.....wanakurupuka vibaya mno....wanachotaka ni ........,mambo ya historia,hayawahusu sana unless anataka kuoa!!!! you seems bitter,calm down my brother!!!:wink2:

as far as ur contribution is concerned way forward is subjective. The way forward is the way u c it
 
mwanaume gani?unatumia lugha watu wasiyoelewa? kama wewe rijali kweli iweke kwa kiingereza au kiswahili......Dena achana na huyu mtu!

Mwendawazimu huyu nishaachana nae anaona sifa hana lolote f**** tu
 
Hapa unazungumzia kichwa gani mheshimiwa? Ai miini kichwa cha nani?

😛ound:😛ound:😛ound:😛ound:

Namaanisha kichwa chako babu, huyu mjukuu alikikosea adabu kichwa chako ikabidi nimuweke sawa ajue namna ya kukitunza kisiguswe na shetani
 
"Mabinti wa leo", "vijana wa leo", wanaume wa leo".... Kila zama ina "wa leo". Baba na mama yangu walikuwa "watoto, wavulana/wasichana wa leo zama zao", mimi niliitwa mtoto wa leo na ninawaita wanangu watoto wa leo... hivyo hivyo mpaka dunia itakwisha.

Jambo ambalo sioni kama ni haki ni kuwatumbukiza katika kapu moja (ingawaje baadaye ulijistukia ukasema baadhi wengi wao). Pengine kama ungelisema "Baadhi ya mabinti wa leo" ningelikuunga mkono, lakini matendo ya mtu binafsi hayawezi kuwa ya wote, au ndio "akioza samaki mmoja wote wameoza?"
 
Sio kweli fainest, siku hizi ukiongea na mwanaume sentensi ya kwanza mpaka ya kumi lazima utajua tu, huyu mtoto wa kwenye taulo, huyu mtoto wa mkulima na amejifunza maisha anajua anakotoka na anakokwenda, huyu anasubiri baba ake afe amwandikie urithi wa nyumba, huyu anajua maisha ni kukomaa na kutumia akili ktk kupangilia na kufanya mambo, na huyu yeye anaweza mwisho hapo puani kwake na hapo kwenye third leg!!

Mnisamehe!!!!

u c! Sentens 10 umemjua mwanaume. Asante
 
huo msaada nadhani ni muafaka zaidi kwa wahanga wa gomz. But thx anyway

Eti eeh, mi nakupenda sana ujue, lakini sasa unavyofanya unanikatisha tamaa!! Hata sijakuona bado ujue, sasa nikija kukuona unanisimamishia li VX pembeni, si nitakimbia mbio. Daaa umeharibu mpango mzima ujue!!
 
Jamani nina BLACK LABEL chupa nzima kuna mwenye kuhitaji.......
 
Eti eeh, mi nakupenda sana ujue, lakini sasa unavyofanya unanikatisha tamaa!! Hata sijakuona bado ujue, sasa nikija kukuona unanisimamishia li VX pembeni, si nitakimbia mbio. Daaa umeharibu mpango mzima ujue!!
LD unataka kuniambia haupendi VX wewe basi kama haupendi nitakuja na baiskeli yangu
 
Back
Top Bottom