Kumbe unajua eeeh!? Hivi kweli unakubali shetani akamate kichwa chako mpaka unamwaga maneno hayo??
hii thread ina maneno ya ukweli ila haiweki way forward,unataka sisi wanawake tufanyeje raia fulani?kila mtu ana atakacho kwa mwanaume,sasa mwanamke akiona atakacho asishawishike jamani,kushawishika kirahisi ndo kupi?kuhusu kukubali mwanaume mmoja wote watatu,hiyo ni uamuzi wa mtu,wapo wanawake wanajiweza tu ila hawaoni shida kuwa wanne kwa mwanaume mmoja as long as wanaridhika naye.....hilo la wanaume kuwa wadadisi na wenye subira,nafikiri unaota au huwaelewi wanaume walio wengi.....wanakurupuka vibaya mno....wanachotaka ni ........,mambo ya historia,hayawahusu sana unless anataka kuoa!!!! you seems bitter,calm down my brother!!!:wink2:
Kumbe unajua eeeh!? Hivi kweli unakubali shetani akamate kichwa chako mpaka unamwaga maneno hayo??
Aiseee!!! Hiki kilatini mimi sisemi kitu
Shoka lisilo mpini halichanji kuni
mwanaume gani?unatumia lugha watu wasiyoelewa? kama wewe rijali kweli iweke kwa kiingereza au kiswahili......Dena achana na huyu mtu!
mwanaume gani?unatumia lugha watu wasiyoelewa? kama wewe rijali kweli iweke kwa kiingereza au kiswahili......Dena achana na huyu mtu!
Hapa unazungumzia kichwa gani mheshimiwa? Ai miini kichwa cha nani?
Les voies de la theologie russeVérité nue est très douloureuse
Hapo je?
Vérité nue est très douloureuse
Hapo je?
Sio kweli fainest, siku hizi ukiongea na mwanaume sentensi ya kwanza mpaka ya kumi lazima utajua tu, huyu mtoto wa kwenye taulo, huyu mtoto wa mkulima na amejifunza maisha anajua anakotoka na anakokwenda, huyu anasubiri baba ake afe amwandikie urithi wa nyumba, huyu anajua maisha ni kukomaa na kutumia akili ktk kupangilia na kufanya mambo, na huyu yeye anaweza mwisho hapo puani kwake na hapo kwenye third leg!!
Mnisamehe!!!!
Nimenyamaza bana na kuacha kabisa
Sisy slow down plzmwanaume gani?unatumia lugha watu wasiyoelewa? kama wewe rijali kweli iweke kwa kiingereza au kiswahili......Dena achana na huyu mtu!
Michelle and All ladies out there (especially Virgins!)
Sikiliza kibao hiki halafu mtulie na wanaume zenu au mabwana zenu!!! SONOFBICHI:-
YouTube - Tanzania - Congo - FM Academia - Acha Tamaa
"..hakuna aliyezaliwa ni kahaba.."
huo msaada nadhani ni muafaka zaidi kwa wahanga wa gomz. But thx anyway
LD unataka kuniambia haupendi VX wewe basi kama haupendi nitakuja na baiskeli yanguEti eeh, mi nakupenda sana ujue, lakini sasa unavyofanya unanikatisha tamaa!! Hata sijakuona bado ujue, sasa nikija kukuona unanisimamishia li VX pembeni, si nitakimbia mbio. Daaa umeharibu mpango mzima ujue!!
Michelle and All ladies out there (especially Virgins!)
Sikiliza kibao hiki halafu mtulie na wanaume zenu au mabwana zenu!!! SONOFBICHI:-
YouTube - Tanzania - Congo - FM Academia - Acha Tamaa
"..hakuna aliyezaliwa ni kahaba.."
LD unataka kuniambia haupendi VX wewe basi kama haupendi nitakuja na baiskeli yangu