The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
:laugh::laugh::laugh::laugh::laugh:Roselyne,nakutakia wikiendi njema......naomba usiwe unachelewa mada kama hizi!!!
ndio utajiju,tafuta mtu unayeendana naye! kama wewe ni wa viwanja vya uswahilini huko tafuta wa huko huko,sio ww unaendaga viwanja vya uswahilini halafu leo unataka mtu anayeenda viwanja vikubwa kwa gharama ile ile ya viwanja unavyoshindia?!!!....utakiona cha mtema kuni!!!:spider:
Hapa mnajadili nini? Kuna mtu kaniona mlima zunzu au cleaner? I have unfinished bussiness with them!
nimesema according to wewe! Hata husomi? Au not richabo?
Hivi kwanini huwa haunisikii unaenda wapi??????nakuja babu!!!
ndio ukome,siku nyengine tafuta mtu unayeendana nae,sio wewe mbahili afu unatafuta wadada wale wanaopenda kuspend-watoto wa mujini!ni gharama kuwatunza!....nenda katafute/kaoe kijijini huko wasio na gharama ndio wataendana na ubahili wako:mullet::A S 13:
RF nihasira na huyu jamaa wewe acha tu.
RF umepata mchumba????
Mamito haya badala ya kunipa Msaada wanisema tena! Haya niambiea kawaudhi nini? Huyu jamaa?Kaanzishe thread yako hapa watu tunahasira na huyu jamaa kutudharau
Hommie kimeumanaMamito haya badala ya kunipa Msaada wanisema tena! Haya niambiea kawaudhi nini? Huyu jamaa?
aminia mkuu,song hili limetulia kwelikweli!
just as cheap men are.....you can easily identify them,like identifying black and white!!!!
na wewe ndo unazinduka? Kaoshe kinywa kwanza
Mi nimedandia treni kwa mbele kisa nini ati?Hommie kimeumana
kwahiyo we wa viwanja gani? dau lako?
RF nihasira na huyu jamaa wewe acha tu.
RF umepata mchumba????
Hivi kwanini huwa haunisikii unaenda wapi??????
Aisee!!! Dogo yuko fiti sana huyu namkubali nyimbo yake nyingine hii hapaaminia mkuu,song hili limetulia kwelikweli!
Halafu pliz calm down sissiendi mahali kaka,nipo tu,namzingua Babu aishi maisha marefu!!