Mabinti wa leo

Mabinti wa leo

hahah ona unavyojishuku???mwanaume hawi hivyo......inaelekea yamekuingia huko uliko mpk unahisi nakuongelea wewe?! unalo hilo!!...wee jifanye hadija kopa nikuonyesha kazi kwa kukuvalisha kanga mwanaume mchana kweupeeee!:mullet:

Kiboko yao mashalobaro,Roselyne nafurahia uwepo wako mahali hapa!!!
 
Mabinti wa leo:-
1.. Hawana subira.
2.. Si wadadisi.
3.. Ni rahisi kushawishiwa,waonapo mazingira ya mali.
4.. Wanam conclude mwanaume kwa kumtazama tu.

Conclusion:
Cha msingi wapate mahitaji yao 'muhimu'-saluni, vocha, usafiri, mlo, viwalo, kodi. Sex inaweza isiwe lazima. Anajua to calm hamu hata kama ni kwa kuibia, kujichua ama wao kwa wao! Si tunaona wakilana madenda laivu kwenye media? Nisiseme sana. Sie wanaume tunapenda muwe wadadisi na wenye subira. Hayo mawili ni msingi wa mengine.
======================================================================================
Hili linahitaji mjadala mrefu usio na jazba - ingawaje ukweli upo karibia 95%, very unfortunately!

Nisamehe my dear ni hasira tu ndo zimenipelekea huko.

Katudhalilisha wanawake eti sijui nini hebu soma hapa

Hawana subira. Si wadadisi. Ni rahisi kushawishiwa, hasa mwanaume akiwa mambo safi. Tamaa yao iko hivi; kama mwanaume aonavyo maungo ya kike na akili kumruka, ndivyo walivyo mabinti (wengi) waonapo mazingira ya mali. Tena zaidi gari. Siwasemi vibaya. Wanam conclude mwanaume kwa kumtazama tu. Wasiyajue ya nyuma ya pazia. Humpati mwanamke kwa tenzi za rohoni (kirahisi hata kigumu) tena bali kwa kutanguliza ulicho nacho kwanza. Wanaume wa ndoto zao ni wachache ndio maana ni rahisi kumilikiwa na mwanaume mmoja hata wakiwa watatu. Cha msingi wapate mahitaji yao 'muhimu'-saluni, vocha, usafiri, mlo, viwalo, kodi. Sex imaweza isiwe lazima. Anajua to calm hamu hata kama ni kwa kuibia, kujichua ama wao kwa wao! Si tunaona wakilana madenda laivu kwenye media? Nisiseme sana. Sie wanaume tunapenda muwe wadadisi na wenye subira. Hayo mawili ni msingi wa mengine
Haya jiteteeni may be ana evidence!
 
you cant even present strong argument,mtu akichallenge upupu wako unaishia kuwa verbal....inferiority complex inakusumbua!...sishangai sababu hizo findings wanaziletaga watu wenye inferiority complex kama wewe!

Asante kwa hii point my dear.....barikiwa!!
 
Mabinti wa leo:-
1.. Hawana subira.
2.. Si wadadisi.
3.. Ni rahisi kushawishiwa,waonapo mazingira ya mali.
4.. Wanam conclude mwanaume kwa kumtazama tu.

Conclusion:
Cha msingi wapate mahitaji yao 'muhimu'-saluni, vocha, usafiri, mlo, viwalo, kodi. Sex inaweza isiwe lazima. Anajua to calm hamu hata kama ni kwa kuibia, kujichua ama wao kwa wao! Si tunaona wakilana madenda laivu kwenye media? Nisiseme sana. Sie wanaume tunapenda muwe wadadisi na wenye subira. Hayo mawili ni msingi wa mengine.
======================================================================================
Hili linahitaji mjadala mrefu usio na jazba - ingawaje ukweli upo karibia 95%, very unfortunately!
======================================================================================

Obuntu unajua vile navyokuheshmui na kukupenda sana (Hilo unalijua halina ubishi) pia sasa tafadhali sana tena sana hebu acha hayo mambo yako kama sina shida na hivyo kwenye red???
 
Obuntu unajua vile navyokuheshimu na kukupenda sana (Hilo unalijua halina ubishi) pia sasa tafadhali sana tena sana hebu acha hayo mambo yako kama sina shida na hivyo kwenye red???
 
Dah who is the lucky man? Nawasubiri hapa counter! Btw umenionea Cleaner au mlima zunzu?

ni kina nani?kama mashalobaro ujue siwaoni,mi naona REAL MEN...... kama Kimey!!! the lucky man,nakuja nae utamuona tu!!!
 
hahah ona unavyojishuku???mwanaume hawi hivyo......inaelekea yamekuingia huko uliko mpk unahisi nakuongelea wewe?! unalo hilo!!...wee jifanye hadija kopa nikuonyesha kazi kwa kukuvalisha kanga mwanaume mchana kweupeeee!:mullet:

mimi hii post imenipa raha sana jamani!!!!
 
Mabinti wa leo:-
1.. Hawana subira.
2.. Si wadadisi.
3.. Ni rahisi kushawishiwa,waonapo mazingira ya mali.
4.. Wanam conclude mwanaume kwa kumtazama tu.

Conclusion:
Cha msingi wapate mahitaji yao 'muhimu'-saluni, vocha, usafiri, mlo, viwalo, kodi. Sex inaweza isiwe lazima. Anajua to calm hamu hata kama ni kwa kuibia, kujichua ama wao kwa wao! Si tunaona wakilana madenda laivu kwenye media? Nisiseme sana. Sie wanaume tunapenda muwe wadadisi na wenye subira. Hayo mawili ni msingi wa mengine.
======================================================================================
Hili linahitaji mjadala mrefu usio na jazba - ingawaje ukweli upo karibia 95%, very unfortunately!
======================================================================================
Obuntu unaamsha hasira zilizo lala?
 
Dah who is the lucky man? Nawasubiri hapa counter! Btw umenionea Cleaner au mlima zunzu?

Nimeya mkumbuka mmoja alianzisha thread ya kutoa mimba kamasikosei sasa sijui ni nani kati yao.

Nakumbuka ulichangia sana kuua wewe ndo maana unawatafuta "USHINDWE KATIKA JINA LA YESU"
 
wanaume kama mabinti,nani aliimba huu wimbo jamani???nahisi JD,em nikumbushe dada,naupenda kweli.......:wink2:
Wanapenda kula na kunywa,
Siku zinaenda wanaume kama mabinti,
Ninaposema wanaume si maanishi wote,
Ila wale wenye tabia kama za mabinti!!

Ha ha ha!!! Sio wimbo wangu huo!!
Habari yake Michelle mama!!
 
mkubwa hata mm nakuunga mkono, hata wakibisha lakini wengi wao sasa hivi wako namna hiyo. Huo ndio ukweli ingawa unauma!
 
Obuntu unajua vile navyokuheshmui na kukupenda sana (Hilo unalijua halina ubishi) pia sasa tafadhali sana tena sana hebu acha hayo mambo yako kama sina shida na hivyo kwenye red???

Dena,

Obuntu anakubaliana na wewe na nadhani Raia Fulani ndiyo maana ameongeza neno "wengi"

Hujambo lakini? Naona leo umeamka na hasira ya kufa mtu!! kha!!

Anywayz sisi hapa Kampala tupo Kabalagala tunapa NILE Lager bariiiiiidi...
 
Du! Asanteni wadada, you have proved the agenda illegitimate. I admire all of you.

Asante pia mleta mada, you have facilitated learning.
 
Miongoni mwa watu ninawaheshimu sana na wewe ni mmoja wao!! Be blessed!!
 
Dena,

Obuntu anakubaliana na wewe na nadhani Raia Fulani ndiyo maana ameongeza neno "wengi"

Hujambo lakini? Naona leo umeamka na hasira ya kufa mtu!! kha!!

Anywayz sisi hapa Kampala tupo Kabalagala tunapa NILE Lager bariiiiiidi...

Asante nami nakwenda "Pronto" Kupata nyama choma na ugali.

Nimekuelewa Baba kwako sina ubishi na ninakuwa mpole si unajua tena heshima kwa mwanamke muhimu.

Enjoy lakn wewe Umeanza lini kunywa Nile unajua inalingana ukali na Safari lager ya home??? Hebu kunywa Club inaafadhali kidogo huko narudi wiki ijayo
 
Back
Top Bottom