hahah ona unavyojishuku???mwanaume hawi hivyo......inaelekea yamekuingia huko uliko mpk unahisi nakuongelea wewe?! unalo hilo!!...wee jifanye hadija kopa nikuonyesha kazi kwa kukuvalisha kanga mwanaume mchana kweupeeee!:mullet:
Umenichekesha mpaka watoto wangu wamekuja niuliza nacheka nini??
Haya jiteteeni may be ana evidence!Nisamehe my dear ni hasira tu ndo zimenipelekea huko.
Katudhalilisha wanawake eti sijui nini hebu soma hapa
Hawana subira. Si wadadisi. Ni rahisi kushawishiwa, hasa mwanaume akiwa mambo safi. Tamaa yao iko hivi; kama mwanaume aonavyo maungo ya kike na akili kumruka, ndivyo walivyo mabinti (wengi) waonapo mazingira ya mali. Tena zaidi gari. Siwasemi vibaya. Wanam conclude mwanaume kwa kumtazama tu. Wasiyajue ya nyuma ya pazia. Humpati mwanamke kwa tenzi za rohoni (kirahisi hata kigumu) tena bali kwa kutanguliza ulicho nacho kwanza. Wanaume wa ndoto zao ni wachache ndio maana ni rahisi kumilikiwa na mwanaume mmoja hata wakiwa watatu. Cha msingi wapate mahitaji yao 'muhimu'-saluni, vocha, usafiri, mlo, viwalo, kodi. Sex imaweza isiwe lazima. Anajua to calm hamu hata kama ni kwa kuibia, kujichua ama wao kwa wao! Si tunaona wakilana madenda laivu kwenye media? Nisiseme sana. Sie wanaume tunapenda muwe wadadisi na wenye subira. Hayo mawili ni msingi wa mengine
Mfalme wa Amani naona unachungulia chini hapo ahaaa ahaaaaa
you cant even present strong argument,mtu akichallenge upupu wako unaishia kuwa verbal....inferiority complex inakusumbua!...sishangai sababu hizo findings wanaziletaga watu wenye inferiority complex kama wewe!
Mabinti wa leo:-
1.. Hawana subira.
2.. Si wadadisi.
3.. Ni rahisi kushawishiwa,waonapo mazingira ya mali.
4.. Wanam conclude mwanaume kwa kumtazama tu.
Conclusion:
Cha msingi wapate mahitaji yao 'muhimu'-saluni, vocha, usafiri, mlo, viwalo, kodi. Sex inaweza isiwe lazima. Anajua to calm hamu hata kama ni kwa kuibia, kujichua ama wao kwa wao! Si tunaona wakilana madenda laivu kwenye media? Nisiseme sana. Sie wanaume tunapenda muwe wadadisi na wenye subira. Hayo mawili ni msingi wa mengine.
======================================================================================
Hili linahitaji mjadala mrefu usio na jazba - ingawaje ukweli upo karibia 95%, very unfortunately!

Dah who is the lucky man? Nawasubiri hapa counter! Btw umenionea Cleaner au mlima zunzu?
Haya jiteteeni may be ana evidence!
hahah ona unavyojishuku???mwanaume hawi hivyo......inaelekea yamekuingia huko uliko mpk unahisi nakuongelea wewe?! unalo hilo!!...wee jifanye hadija kopa nikuonyesha kazi kwa kukuvalisha kanga mwanaume mchana kweupeeee!:mullet:
Obuntu unaamsha hasira zilizo lala?Mabinti wa leo:-
1.. Hawana subira.
2.. Si wadadisi.
3.. Ni rahisi kushawishiwa,waonapo mazingira ya mali.
4.. Wanam conclude mwanaume kwa kumtazama tu.
Conclusion:
Cha msingi wapate mahitaji yao 'muhimu'-saluni, vocha, usafiri, mlo, viwalo, kodi. Sex inaweza isiwe lazima. Anajua to calm hamu hata kama ni kwa kuibia, kujichua ama wao kwa wao! Si tunaona wakilana madenda laivu kwenye media? Nisiseme sana. Sie wanaume tunapenda muwe wadadisi na wenye subira. Hayo mawili ni msingi wa mengine.
======================================================================================
Hili linahitaji mjadala mrefu usio na jazba - ingawaje ukweli upo karibia 95%, very unfortunately!
======================================================================================
Dah who is the lucky man? Nawasubiri hapa counter! Btw umenionea Cleaner au mlima zunzu?
Wanapenda kula na kunywa,wanaume kama mabinti,nani aliimba huu wimbo jamani???nahisi JD,em nikumbushe dada,naupenda kweli.......:wink2:
Obuntu unaamsha hasira zilizo lala?
Obuntu unajua vile navyokuheshmui na kukupenda sana (Hilo unalijua halina ubishi) pia sasa tafadhali sana tena sana hebu acha hayo mambo yako kama sina shida na hivyo kwenye red???
Du! Asanteni wadada, you have proved the agenda illegitimate. I admire all of you.
Asante pia mleta mada, you have facilitated learning.
Dena,
Obuntu anakubaliana na wewe na nadhani Raia Fulani ndiyo maana ameongeza neno "wengi"
Hujambo lakini? Naona leo umeamka na hasira ya kufa mtu!! kha!!
Anywayz sisi hapa Kampala tupo Kabalagala tunapa NILE Lager bariiiiiidi...