Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
- Thread starter
- #61
Kwa leo ujumbe umefika-kwangu na 'kwenyu'. Kilichobaki tupendane tu kakaz na dadaz kama ilivyoombwa huko juu. Nawapenda sana wanawake ila siwapendi sana niliowafafanua. Kama we ni mmojawapo itakuwa imekuuma tu. Ieleweke tu mali si msingi bali utu kwanza. Nina kichefuchefu cha dhahiri kwa mwanamke ambaye ni repulsive. Otherwise, i love u jf ladies and non jf ar well