Mabinti wa leo

Kwa leo ujumbe umefika-kwangu na 'kwenyu'. Kilichobaki tupendane tu kakaz na dadaz kama ilivyoombwa huko juu. Nawapenda sana wanawake ila siwapendi sana niliowafafanua. Kama we ni mmojawapo itakuwa imekuuma tu. Ieleweke tu mali si msingi bali utu kwanza. Nina kichefuchefu cha dhahiri kwa mwanamke ambaye ni repulsive. Otherwise, i love u jf ladies and non jf ar well
 
Good girl! I hope na hapa ntakamata ingine!

Good Boy! Your BAN is uplifted.....Heheheee...ulikuwa umepigwa ban la kisirisiri.....

Excellent!....Huo sasa ndio uungwana!

Babu yaani nakwambia tena WALLAAAAAAAAAAAAAAAAAH TENA BISMILAAAAAH NA MTUME TENA mi ningekurudishia BAN 7 mfululizo hata mapomu ya Gongo la Tomb . . . . aaaissssssssssh samahani Gongo la Mboto. Tena ningeBAN hadi server yenu isichangiwe :wink2:
 
kuteleza kwingine bana,mi sipo:hand::hand:
 
Hebu nichagulie adhabu ya kumpa huyo mtu hapo juu!
 
huyo atakuwa na hamu tu,ndo maana kateleza hivyo,asaidiwe tu kaka!

Halafu we si nlikwambia unitamkie jina lako kwa lugha ya Nyerere? Haya moja......mbili.......tatu......Jinaaaaaaaaa Tamka!
 
Hiyo inaitwa JUKUUZ CALLING you have been warned!!

Naanza kuuzoea hii kauli kama mabomu ya Mbagala na Gongo la Tom . . . . . ohoooooo! Sasa hii ni makusudi!:A S 13:
 
Naanza kuuzoea hii kauli kama mabomu ya Mbagala na Gongo la Tom . . . . . ohoooooo! Sasa hii ni makusudi!:A S 13:

Goodbye
Shoka lisilo mpini halichanji kuni
Goodbye​
 
huyo atakuwa na hamu tu,ndo maana kateleza hivyo,asaidiwe tu kaka!

Wewe unafaa kweli kweli, sasa ngoja niku :clap2:
naomba uni :A S 101: ili niondoe mshawasha
 
Wewe unafaa kweli kweli, sasa ngoja niku :clap2:
naomba uni :A S 101: ili niondoe mshawasha

poa,nitaku call baada ya mapishi,uje tule then nikutibu!:wink2::hand:
 
Goodbye
Shoka lisilo mpini halichanji kuni
Goodbye​

Sasa tuongee mambo muhimu babu, unaonaje wana JF kukichangisha pesa au chochote kile kwa ajiri ya wahanga wa mabomu?? Yaani tujikusanye tutoe posho zetu za kuangalia internet wiki nzima zikawachangie wale ndugu zetu :coffee:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…