Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
- Thread starter
- #121
We babu na wajukuu zako nitawaripoti kwa inv mnaharibu flow ya muktadha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe umeona? Ufisadi si kwenye siasa tu. Tena kumbe wanasiasa walikopa hilo neno huku
Kila mtu yuko salama kwa mujibu wa manenoLa la la la la la unaharibu jina la mjukuu HADHARANI??? :A S 13:
Zis is pyua ABYUZIIII
Babu mim niko salama salimin ndio maana mjukuu wako haoni tabu kunikubalia
Eti?Nitaweka na vilainisho kidogo, ikiwa kavu sana moto utawaka
Ohoooooo!moto utawaka kweli?tutazima na maji na mchanga!
We babu na wajukuu zako nitawaripoti kwa inv mnaharibu flow ya muktadha
We babu na wajukuu zako nitawaripoti kwa inv mnaharibu flow ya muktadha
unataka kumaanisha nimedanganya au?ulete vithibitisho kwa maandishi ofisini kwangu!:decision:
Plse fungua jicho ndugu, yaani swala amchimbe mkwara chui kwamba atamripoti kwa chui???!!!:A S 13::A S 13:
RF karibu nyumbani kwangu, kuna house boy atakuwa anakupikia, kukufulia na ukitaka kutoka na washikaji zako nitakupa pesa, chochote unachotaka utapewa kama huna gari nitakupa ya kwangu moja utembelee, kama huna nguo nzuri nitakupa hela ukafanye shopping, kama huna blackberry nitakununulia Bold!!
Sawa RF, ili uone tofauti kati ya hao mabinti uliokutana nao na sisi wengine.
hii thread ina maneno ya ukweli ila haiweki way forward,unataka sisi wanawake tufanyeje raia fulani?kila mtu ana atakacho kwa mwanaume,sasa mwanamke akiona atakacho asishawishike jamani,kushawishika kirahisi ndo kupi?kuhusu kukubali mwanaume mmoja wote watatu,hiyo ni uamuzi wa mtu,wapo wanawake wanajiweza tu ila hawaoni shida kuwa wanne kwa mwanaume mmoja as long as wanaridhika naye.....hilo la wanaume kuwa wadadisi na wenye subira,nafikiri unaota au huwaelewi wanaume walio wengi.....wanakurupuka vibaya mno....wanachotaka ni ........,mambo ya historia,hayawahusu sana unless anataka kuoa!!!! you seems bitter,calm down my brother!!!:wink2:
Mwingine huyu katoka kuamka...
Michelle babu loves you........ Nimekumiss mpaka kwenye kucha...... hebu njoo zikate please
Hajanywa hata chai jamani, alikesha ktk maombi jana usiku
Hawana subira. Si wadadisi. Ni rahisi kushawishiwa, hasa mwanaume akiwa mambo safi. Tamaa yao iko hivi; kama mwanaume aonavyo maungo ya kike na akili kumruka, ndivyo walivyo mabinti (wengi) waonapo mazingira ya mali. Tena zaidi gari. Siwasemi vibaya. Wanam conclude mwanaume kwa kumtazama tu. Wasiyajue ya nyuma ya pazia. Humpati mwanamke kwa tenzi za rohoni (kirahisi hata kigumu) tena bali kwa kutanguliza ulicho nacho kwanza. Wanaume wa ndoto zao ni wachache ndio maana ni rahisi kumilikiwa na mwanaume mmoja hata wakiwa watatu. Cha msingi wapate mahitaji yao 'muhimu'-saluni, vocha, usafiri, mlo, viwalo, kodi. Sex imaweza isiwe lazima. Anajua to calm hamu hata kama ni kwa kuibia, kujichua ama wao kwa wao! Si tunaona wakilana madenda laivu kwenye media? Nisiseme sana. Sie wanaume tunapenda muwe wadadisi na wenye subira. Hayo mawili ni msingi wa mengine
RF karibu nyumbani kwangu, kuna house boy atakuwa anakupikia, kukufulia na ukitaka kutoka na washikaji zako nitakupa pesa, chochote unachotaka utapewa kama huna gari nitakupa ya kwangu moja utembelee, kama huna nguo nzuri nitakupa hela ukafanye shopping, kama huna blackberry nitakununulia Bold!!
Sawa RF, ili uone tofauti kati ya hao mabinti uliokutana nao na sisi wengine.
Mwingine huyu katoka kuamka...
Michelle babu loves you........ Nimekumiss mpaka kwenye kucha...... hebu njoo zikate please
Hii kazi inafanywa na wajukuu tu, sio mahausi boy
hebu nyenyekea vizuri kwa babu, alaaaa!
Hii kazi inafanywa na wajukuu tu, sio mahausi boy
hebu nyenyekea vizuri kwa babu, alaaaa!