Mabinti wa leo

Mabinti wa leo

kama dena amsi hatajali itabidi nikutafutie zawadi itakayokupendeza.................!
sipotei kihivyo kila siku lazima nije kuchungulia kama Dena Amsi wangu yuko fresh.............!

Kama ni zawadi tu naruhusu sababu mie na Michelle hatuna ubaya "Sharing is Caring"

Ila isiwe kama ile uliyonipa jana
 
Hawana subira. Si wadadisi. Ni rahisi kushawishiwa, hasa mwanaume akiwa mambo safi. Tamaa yao iko hivi; kama mwanaume aonavyo maungo ya kike na akili kumruka, ndivyo walivyo mabinti (wengi) waonapo mazingira ya mali. Tena zaidi gari. Siwasemi vibaya. Wanam conclude mwanaume kwa kumtazama tu. Wasiyajue ya nyuma ya pazia. Humpati mwanamke kwa tenzi za rohoni (kirahisi hata kigumu) tena bali kwa kutanguliza ulicho nacho kwanza. Wanaume wa ndoto zao ni wachache ndio maana ni rahisi kumilikiwa na mwanaume mmoja hata wakiwa watatu. Cha msingi wapate mahitaji yao 'muhimu'-saluni, vocha, usafiri, mlo, viwalo, kodi. Sex imaweza isiwe lazima. Anajua to calm hamu hata kama ni kwa kuibia, kujichua ama wao kwa wao! Si tunaona wakilana madenda laivu kwenye media? Nisiseme sana. Sie wanaume tunapenda muwe wadadisi na wenye subira. Hayo mawili ni msingi wa mengine

Hao ni mabinti unaokutana nao wewe, wengine wanakutana na mabinti tofauti kabisa...unalo!
 
nina wasi na ufahamu wako. Em rejea uliyoandika yote ulinganishe na nilichonukuu. Otherwise asanteni kwa michango yenu. Narudia tena! Common colores are black n white

ukiona hizi herufi mwishoni mwa sentensi unaelewaje...... L.O.L?
acha ulimbukeni wewe na ushalobaro......ufahamu wako ndo una matatizo makubwa......!!!!
 
Kama ni zawadi tu naruhusu sababu mie na Michelle hatuna ubaya "Sharing is Caring"

Ila isiwe kama ile uliyonipa jana

Bora manake alikuwa anatafuta visababu tu vya kutonipa zawadi itakayonipendezesha.....asante Dena wangu!!!
 
Kama ni zawadi tu naruhusu sababu mie na Michelle hatuna ubaya "Sharing is Caring"

Ila isiwe kama ile uliyonipa jana

kuepusha kukukwaza kwa hali iwayo yeyote ile..................!
ntakupatia ATM card yangu wewe ndio ukanunue hiyo zawadi...................!
mim ntanunua zako tu................!
 
ukiona hizi herufi mwishoni mwa sentensi unaelewaje...... L.O.L?
acha ulimbukeni wewe na ushalobaro......ufahamu wako ndo una matatizo makubwa......!!!!

Limeganda huyo achana nae kumbafu kabisa
 
kuepusha kukukwaza kwa hali iwayo yeyote ile..................!
ntakupatia ATM card yangu wewe ndio ukanunue hiyo zawadi...................!
mim ntanunua zako tu................!

Sawa ila umesahau kuwa jana tulivyokwenda Bank niliweka kwenye handbag yangu na hujaichukua ATM mpaka sasa

Nitaongea nae anapenda nini usijali
 
hahahah haya makombora ya humu??? hata ya mbagala yana afadhali...mie napita tu kny ambulensi in case na humu kuna majeruhi tutawabeba....noooli noooli noooooli :A S 13::wink2:
 
jamani,mwanaume si ndo huyu??? Dena umejaliwa my dear.....huu ndo urijali bwana....toa ATM watu tuka shop.....

nakushukuru mno.......tunaenda wote au nije na rafiki yangu tuende nae shopping? unatupa dereva au nije na gari yangu???:wink2::wink2:
 
Unatafutwa na Kaizer....yaani kila nikipiga simu yako haipatikani....naomba sana mtafute....l.o.l.....hapa hakuna majeruhi,makombora yameua,wako mochwari!!!
 
Sawa ila umesahau kuwa jana tulivyokwenda Bank niliweka kwenye handbag yangu na hujaichukua ATM mpaka sasa

Nitaongea nae anapenda nini usijali

acha ikae huko maana kwanza ww hutumii zaidi ya kiasi ninachokwambia.............!

kaa nayo tu baby hadi utakapojisikia kuirudisha mm nitamanage na hizi nilizo nazo kwenye wallet............!
 
Sawa ila umesahau kuwa jana tulivyokwenda Bank niliweka kwenye handbag yangu na hujaichukua ATM mpaka sasa

Nitaongea nae anapenda nini usijali

jamani,mwanaume si ndo huyu??? Dena umejaliwa my dear.....huu ndo urijali bwana....toa ATM watu tuka shop.....

nakushukuru mno.......tunaenda wote au nije na rafiki yangu tuende nae shopping? unatupa dereva au nije na gari yangu???:wink2::wink2:

acha ikae huko maana kwanza ww hutumii zaidi ya kiasi ninachokwambia.............!

kaa nayo tu baby hadi utakapojisikia kuirudisha mm nitamanage na hizi nilizo nazo kwenye wallet............!

siwaelewi!!!:rain:
 
yote yako mikononi mwa Dena.................!
kama ataamua mkaikung'ute kwa mashoping ya kufa mtu ntafanyaje bana....................!
Ila Dena ninachompendea anahurumia sana senti zangu.................!
 
jamani,mwanaume si ndo huyu??? Dena umejaliwa my dear.....huu ndo urijali bwana....toa ATM watu tuka shop.....

nakushukuru mno.......tunaenda wote au nije na rafiki yangu tuende nae shopping? unatupa dereva au nije na gari yangu???:wink2::wink2:

We njoo tu bana na gari mie nitaacha yangu

Wanaume ndo kama hawa wanamakonfidensi ya nguvu wala hana wasiwasi na mimi sio wengine vocha tu ishue watu tumeachiwa ATM tena ina dola
 
acha ikae huko maana kwanza ww hutumii zaidi ya kiasi ninachokwambia.............!

kaa nayo tu baby hadi utakapojisikia kuirudisha mm nitamanage na hizi nilizo nazo kwenye wallet............!

Sawa my Love usijali nitatumia ikipungua naingia kuvuta nyingine ila usisahau basi ile ahadi yangu ya kwenda sinema Mlimani leo kuna ile picha nayoipenda sawa dear???
 
Back
Top Bottom