Nina rafiki yangu Mganda amenisimulia kuwa yule mpinzani dr Mwesiga (kama sikosei) alikuwa daktari wa M7, kwa sababu za kisiasa ametoa siri kuwa jamaa anatumia dawa zetu zile za kuongeza kinga. Sasa jamaa akawa anacheka kwani na huyo daktari naye ni same same.
Kuhusu binti aliyezalia ujerumani; ilikuwa kashfa kwa kuwa alitumia ndege ya rais kwenda ujerumani na ikamsubili kumrudisha paid fully by the UG government.
Niliona picha za Ikulu ya UG nadhani is among the best in Afrika ina mandhari ya hali ya juu nasikia ni mpya utasema five stars hotel.