Mabinti wa Presidaa M7 we acha tu!

Mabinti wa Presidaa M7 we acha tu!

Hv kikwete ana binti mkali nasikia ni dokta sasa mwenye picha aweke tufanye comparizon

i159_JK2BDAUGHTER2B2.JPG
 
iyo ilikuwaa kwenye maafalii KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY...kwakaa juzi.walikujaa na mama yao
 

Kwa kweli ni wazuri hilo halina ubishi na bahati mbaya sana kwa wakware wa JF, huyo wa kushoto ana pete na inaonekana ni mke wa mtu.

Pamoja na uziri wao, LAKINI JAMANI USAFIRI MGOGORO!
 
kweli watu tuna test tofauti... mi nawaona below wa kawaida yaani!
 
Acheni matamanio ya mwili,imeandikwa usimtamani mwanamke asiekuwa mke wako
 
Wamefanana sana na mama yao .....Kimo hicho kinaitwa Twiga mtoto
 
Duh watoto wakali lakini usafiri kidogo umewaangusha.

The-First-babes-Musevenis-gals-also-showed-up-in-style.jpg
 
Nina rafiki yangu Mganda amenisimulia kuwa yule mpinzani dr Mwesiga (kama sikosei) alikuwa daktari wa M7, kwa sababu za kisiasa ametoa siri kuwa jamaa anatumia dawa zetu zile za kuongeza kinga. Sasa jamaa akawa anacheka kwani na huyo daktari naye ni same same.

Kuhusu binti aliyezalia ujerumani; ilikuwa kashfa kwa kuwa alitumia ndege ya rais kwenda ujerumani na ikamsubili kumrudisha paid fully by the UG government.

Niliona picha za Ikulu ya UG nadhani is among the best in Afrika ina mandhari ya hali ya juu nasikia ni mpya utasema five stars hotel.
 
Mbona sioni chochote hapo? Jamani unasifia nini hapo? hata Aunt Ezekieli anawatoa mbali, Blandina Chagula, Joan wanatoa nokaut hata mainda tu
 
Mademu wakawaida tu hawa,hivi nyie mmeona mademu kweli nyinyi? zungukeni jamani au uliwaangalia wakati damu imeenda kwenye kichwa kingine?
 
EEEH kweli niezikubali

Hawa mabinti wa M7 wana uzuri wa kawaida tu. Kitu pekee cha kufurahisha ni kwamba wanavaa mavazi ya kiheshima na hawatumii MKOROGO na hawajipendezeshi kwa kuvaa mawigi
 
Back
Top Bottom