Mabinti wa sasa acheni kukurupukia ndoa

Habari za muda huu wapendwa katika bwana,
Naomba niseme hili kwa uchache tu.
Ila watanzania tuna maneno sana

Binti asipolewaa tunaanza kuhoji Kwanini hajaolewa tunaanza kumchunguza ana kasoro gani

Akijitokeza mtu anataka kumuoa tunaanza kumkosoa muoaji

Akitiwa mimba Kabla ya ndoa tunaanza kumponda singo maza

Ifike hatua baadhi ya familia muoane wenyewe kwa wenyewe
 
Wazazi turejee nyuma tuwatafutie watoto wetu wapenzi wa kuoa na kuolewa.

Njia hii ndiyo muarobaini wa mnachokiita ndoa ngumu.
Ila kwa kizazi hiki cha sasa, kwa mwarobaini huo ni familia chache tutapata watoto wazuri,
 
Wasipo olewa mnawasema
Wakirukia ndoa mnawasema.
Wafanye nini?
Mkuu ukiwa na ndugu anayekutana na changamoto hiyo nadhani inakuwa rahisi kuelewa kuliko simulizi...natumai unandugu pia
 
Huwezi kuficha tabia kwa sikuzote ipo siku katika tabia mbaya kumi nne utaziona tu, shida watu wanaweka upofu kuona kwa kufunikwa na so called love
 
Samahani mkuu....
Hivi haya unayo yasema hapa, umesha mwambia huyo wifi yako..??
Na hata ninyi mnamatatizo, hivi kweli
Sheria ya ndoa inasema mtu anaolewa na miaka mingapi?
 
Sikuhizi hakuna ndoa yaani mtu wanakutana kwenye basi wakifika morogoro tu wanaanza kulala wote , hahaaaaaa they are very cheap these days both Men and Women
 
Na wengine wanapenda kamseleleko, wakiona binti familia inajiweza. Point sio ajira tu, swala je uko tayari au utaamudu maisha ya ndoa? Maanaa ndo sio shereh tu
 
Kwa upande wetu wanaume 22 nakubali bado akili huwa hazjakomaa,lakin kwa mabnt unazan n kuanzia umr gan wanakomaa kias cha kuanzsha famlia
Mi naamini akili inategemea na mtu maana unaweza kukuta mtu ana30 kichwani hamna kitu, je asubiri mpaka akili ikomae na 45 yrs?
 
Haimaniishi uende tu kwenye ndoa bila kujiridhisha et tu kisa usipoolewa watasema
 
Haya kumekucha tena, ndoa na madoa yake!
 
Ndoa musioitarajia kudumu ndio inakuja kudumu
 
Ndoa hainaga kusomana kwa muda mrefu lolote laweza kutokea tu.
 

Hapo sasa unawashauri wanaume sio wanawake.

Hapa tunawashauri wanawake.Mwanaume hajawahi kuwa na uwezo wa ku pretend mwaka mzima kwahiyo mwanamke mwenye kujitoa ufahamu na ajitoe,ajipeleke kwenye ndoa.

Ila mwenye akili na macho ataona dalili wazi wazi na atapuuza.

Kupretebd icho kipaji chenu sio chetu.Sisi tunakudanganya miezi 3 mingi baada ya Hapo tunaanza kuwa really.Kazi kwako kusuka kunyoa
 
Mi naamini akili inategemea na mtu maana unaweza kukuta mtu ana30 kichwani hamna kitu, je asubiri mpaka akili ikomae na 45 yrs?
Ni kweli upo sahihi,swala la akili kukomaa tunatofautiana,ila katika ndoa kuna majukumu flan ya mcng ambayo mtu anatakiwa kuyamudu kulngana na jnsia yake ndio aingie kwenye ndoa,mfano kwa mwanaume n lazma awe na uwezo wa kuandalia familia mahtaj ya msingi ya kimwili hivyo n lazma awe na shughul halal, lakn kwa mfumo wetu unakuta vjana wengi ktk umr flan kama 22-26 ndio wanakuwa vyuon au wanamaliza masomo,kitu ambacho sio rahc kuingia tu mtaani na kuwa na issue,so inachukua mda mtu kuweka system yake ili awe na kpato cha uhakika cha kutegemeza familia,wakat mwanamke hasa ana jukum la kuwa mama na kutii ukichwa kwa mume wake.
 
Mkuu yote haya kisa tu mmegundua jamaa hafanyi kazi alomwambia demu kiwa anafanya?? Kazi ya nn wakati kikubwa katka ndoa ni upendo??? Mradi wao wanapendana basi nyie ndugu hamna cha ziada zaid ya kuwaombea heri tu wakiwa nacho watakula wakikosa watalala maisha yatasonga ndoa lazim ziwe na ups and down kawaida sanaa halafu wanaume tuna mbinu nyingi za kumshawishi mwanamke mradi tu akubali kama tumempenda. Kitendo cha jamaa kuacga wooteeee na kumuoa yeye kinadhihirisha upendo wa dhati wa jamaa kwa binti maana ni ngumu mwanaume kujicomit kwa demu mazima ambae hajampenda swala la mbinu inayotumika kumuweka mwanamke kwenye himaya hilo ni swala lingine kabisaa
 
furaha ya binti ni ile sherehe pale siyo ndoa, avae 'shela' kali na apige mapicha kibao aposti insta atambie rafikize

'ndoa' ikianza hujisahaulisha kwingi, akili anaihamishia matakoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…