Mabinti wa sasa acheni kukurupukia ndoa

Wake wengi siku hizi hawataki kuwatii waume zao, feminism inawaharibu.
 




Mkuu hawa wake za watu wapya wapya ni janga hawachelewi kukutumia vipicha picha vyao usipo react wanakupigia video calls yani mpka mchana jua kali mtu mpaka unajiuliza kama walikuwa wanajua sisi ni mahandsome kwanini waolewe na waliowaoa au kuna mapepo
 
Well said
 
Nilikuwa real sana kwa binti mmoja hivi,naona ameona me mshamba.Sasa kaenda kwa waigizaji cha moto anakiona sasa.

Me nacheka tu hapa
 
Nilikuwa real sana kwa binti mmoja hivi,naona ameona me mshamba.Sasa kaenda kwa waigizaji cha moto anakiona sasa.

Me nacheka tu hapa

Mbona kama unafurahia tabu anazopitia uko mkuu?
 
"Ndoa si kucheza kwaito na kukata keki"

Aliandika mwana JF mmoja katika uzi wa mambo ya ndoa.

Wanafikiri ndoa ni kupiga picha za relationship goals na kupost instagram,na kumnyoa mtoto utadhani mwanamuziki wa bongo fleva.
HAHAHA KUNA UKWELI LAKINI Inna nakusalimia
Mabinti wanataka wavae shela wapostiwe na mc garab wauze sura insta
 
Kujuana kidogo tu, utasikia Mimi napenda Sana wanaume wakweli Kama wewe alafu upo Kama baba wa familia nakupenda[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…