Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushasikia 'hayo maneno walisema wazee wa zamani, ukiwa mjanja.....'
mie miguu yao tu ndio hoii. yaani haina tofauti na mikono
mie miguu yao tu ndio hoii. yaani haina tofauti na mikono
Hapana chezea singida
Kuna waschana wamejaliwa uzuri tuache utani, kila ninaemuona mzr anasema kwao singida.
Allow lazma nikaoe singida mwakani