Mabinti wa vyuo vikuu wana tabia kama za wahudumu wa baa

Mabinti wa vyuo vikuu wana tabia kama za wahudumu wa baa

ndege joni

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
682
Reaction score
1,108
Hatimae ndege joni nimetua chuo flani hapa nchini nachukua elimu za juu. Cha ajabu nilichokiona ni tofauti na nilivyokuwa nawaza kabla ya kuja kuchukua hii elimu.

Nilishazoea kujichukulia watoto wa baa na hoteli wakalii. Sichukuagi vitu vya ajabu mimi. Kwanza watoto wa baa wana tabia za uongo na hawapendi kujionesha kuwa wana dhiki.... na wanavaa nguo za kuonesha maumbile yao na ni wasafi. Ukikutana nae mtaani huwezi kuamini kuwa ni muhudumu wa baa. Wana mvuto na wanajua sana fashion.

Cha ajabu hapa chuoni mabinti wanaosoma bachelor degree wana tabia zilezile za wahudumu. Kwa sababu najua mbinu za kula wahudumu sijapata shida ya hawa Binti wasomi. Asante sana mabinti wa chuo... pia nimesikia kuna mwezi dume sijui ntapona hapa. Maana nasikia wanajipendekeza sana kwetu wenye gari. Ila E kama upo humu usinielewe vibaya, napitaga tu mimi. Siweki kambi.
Hivi wadau ni vyuo vikuu vyote ndo vina mazingira kama haya kwa mabinti zetu warembo?
 
Inawezekanakabisa wahudumu wa baa haohao wamepata mikopo wameingia vyuoni, kwani hutakina wao wasome?
 
Back
Top Bottom