Mabinti wamekuja tena na style mpya ya kupiga picha

Mabinti wamekuja tena na style mpya ya kupiga picha

Mwanaume anataka nini😌?

Mwanaume anayetumia/Mpango wa kucheza na mwanamke:

  • Mwanamke mtupu.
  • Anayeonyesha maungo yake.
  • Anayemvutia ki sex tu.
  • Anayeweza kumtumia.

Mwaume mwenye kutaka mke:

- None of the above.

Hakuna mwanamke anayejitunza vizuri akakosa mume, wanawake wa kuoa bado wanatafutwa na wanaheshimika.

Sasa kama wanawake ni hao wanapiga picha na kuonyesha makalio yalipoishia maana nini? Wata attract similar useless Men.

We attract our own image an imagination, the image we have is what defined nani ata ji associate na sisi.
 
Back
Top Bottom