Mabinti wanalilia NDOA lakini hamziwezi

Mabinti wanalilia NDOA lakini hamziwezi

Mnakesha kwenye nyumba za ibada kuomba waume wa kuwaoa. Ila mkishaolewa mnazidisha kiburi, umalaya, uvivu na uchafuzi wa mwili. Hiyo NDOA itadumuje?
Hujaoa aliyekesha akimlilia Mungu apate mume.
Mnaoa wanaoenda kanisani mnadhani wote wamemlilia Mungu wapate waume. Kule wapo kila dizaini na wewe kabla ya kuoa kesha ukimwomba Mungu uone kama atakupa malaya.
 
Mnakesha kwenye nyumba za ibada kuomba waume wa kuwaoa. Ila mkishaolewa mnazidisha kiburi, umalaya, uvivu na uchafuzi wa mwili. Hiyo NDOA itadumuje?
Km wewe umekutana na kimeo mkuu ni wewe,sio wote🤣
Kuna watu Wana enjoy ndoa aisee!
Halafu watu hawawezi kufanana
 
Back
Top Bottom