Teacher -Baba Eliza ana mabinti wanne , Nana , Nene , Nono wamwisho anaitwa.....?
Dent - Atakuwa anaitwa Nunu!!
Teacher-Narudia tena Baba Eliza ana mabinti wanne Nana ,Nene, Nono, huyo wa nne anaitwa ....?
Dent - Nimeshasema Nunu ....
Teacher - du!!! hapa nina kazi kweli kweli
Dent - Atakuwa anaitwa Nunu!!
Teacher-Narudia tena Baba Eliza ana mabinti wanne Nana ,Nene, Nono, huyo wa nne anaitwa ....?
Dent - Nimeshasema Nunu ....
Teacher - du!!! hapa nina kazi kweli kweli