Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukichaa umewapanda kichwani 35 huna mtoto huna ndoa huna mume huna kwako unaishi kwenu?Na wengi ni washika dini kulikoni?
Walikuwa wanajitunza na kukwepa vishawishiUkichaa umewapanda kichwani 35 huna mtoto huna ndoa huna mume huna kwako?
Pole yao sana menopause ile pale mchekea mchekea huzai tenaPole Yao.
Afadhali mkuu leo umachange topic kwa afya yako! Masiasa bana yanatia stress sana mara unajikuta una mapressure na masukari kisa kumchukia Lissu wakati mwenzio tabasamu tele, na ndio career yake, we unaumia unatesa na familia yako!😎😛Nini hasa huchochea hali hii ambayo pia wengi wao hufanikiwa kupata ujauzito kwa tabu sana, lakini wengine huhangaika kila mahali na kuambulia patupu, na hatimae hujikatia tamaa kabisa?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Vishawishi umepewa bure toa bure aibu aibu tia mfukoni zaaWalikuwa wanajitunza na kukwepa vishawishi
Toa ufafanuziKweli hawa dada zetu wanahangaika sana lakini ujue ndio natural selection na natural processes zinaendelea
Hawana watoto ndio upweke zaidiUpweke unaumiza. Hawataki uzee ufike wakiwa wapweke.
Ndo wazae sasa. Mambo ya kuzeeka huna wa kukukumbusha kumeza dawa za presha hakuna anayetaka.Hawana watoto ndio upweke zaidi
natamani kucheka lakin dah,Na wengi ni washika dini kulikoni?
