Mabinti wengi wa umri wa miaka 30-35 ambao hawajaolewa bado hadi sasa wanapambana zaidi kupata watoto, kulikoni?

Mabinti wengi wa umri wa miaka 30-35 ambao hawajaolewa bado hadi sasa wanapambana zaidi kupata watoto, kulikoni?

Ila watanzania bana yaan kwenye maisha yetu vitu tulivoweka mbele ni ndoa na watoto wakat wengine wanapigana kushika uchumi mkubwa sisi tuko buzy na mapenzi watoto ndoa hili bara letu Lina laana sijui ni laana ya nan.

Watu wanaona ndoa ni kitu kikubwa kwenye maisha watu wanaabudu ndoa kuliko dini zao shame on us
 
Changamoto za uzazi zilianzia kwa Hana au nadhani Ana pale kwenye kitabu Cha Samweli ni miaka mingi
We umeona wanaohangaika ila amini wapo wengi sana wasiohangaika ni ukigusa imo na maisha yanaendelea
Kwa wanaohangaika sababu zitakuwa zile zile
Lishe na afya ya uzazi isio nzuri
naona kundi ni kubwa mno nyakati hizi sawa na wasaka ajira tu:pulpTRAVOLTA:
 
Ila watanzania bana yaan kwenye maisha yetu vitu tulivoweka mbele ni ndoa na watoto wakat wengine wanapigana kushika uchumi mkubwa sisi tuko buzy na mapenzi watoto ndoa hili bara letu Lina laana sijui ni laana ya nan.

Watu wanaona ndoa ni kitu kikubwa kwenye maisha watu wanaabudu ndoa kuliko dini zao shame on us
Sasa huo uchumi mkubwa bila kuwa hata na katoto kakuja kurithi huo uchumi wa kazi gani? yani unakuwa kama genda eka vile, agrghhhh,
 
Mume bora hutoka kwa Bwana, na Watoto ni zawadi kutoka Kwa Mungu

Don't stress up our beautiful ladies out there
ni katika kujiridhisha na kuweka angalizo tu kwa generations zinazokuja kuhusu jambo hili bila unafiki kwamba ati hakuna tatizo.

na ikiwa hakuna tatizo, kulikoni wawe stressed na mjadala huu hao beautiful angels?

maana mabinti wa watu wanateseka sana kutafuta watoto kama vile wanatafuta ajira, huku ndoa wakiwa wamezikatia tamaa kabisa kwamba hakuna, dah! :pulpTRAVOLTA:
 
Ila watanzania bana yaan kwenye maisha yetu vitu tulivoweka mbele ni ndoa na watoto wakat wengine wanapigana kushika uchumi mkubwa sisi tuko buzy na mapenzi watoto ndoa hili bara letu Lina laana sijui ni laana ya nan.
Watu wanaona ndoa ni kitu kikubwa kwenye maisha watu wanaabudu ndoa kuliko dini zao shame on us
Mbona povu
 
Kila mtu kwenye haya maisha ana changamoto anapitia, wao wanapitia changamoto ya kutaka ndoa/watoto, kuna mwingine is seriously sick, bedridden, mwingi uchumi wake ni mgumu nanga inapaa, mwingine hasimamishi na wala hana hisia, mwingine ni mtu wa kukataliwa na jamii tu.

Kila kiumbe hapa duniani hakiko kamili, kuna changamoto kinapitia. So hao wadada wanapitia za kwao, na sisi tupambane na za kwetu.
 
Back
Top Bottom