Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naona kundi ni kubwa mno nyakati hizi sawa na wasaka ajira tuChangamoto za uzazi zilianzia kwa Hana au nadhani Ana pale kwenye kitabu Cha Samweli ni miaka mingi
We umeona wanaohangaika ila amini wapo wengi sana wasiohangaika ni ukigusa imo na maisha yanaendelea
Kwa wanaohangaika sababu zitakuwa zile zile
Lishe na afya ya uzazi isio nzuri

Hapo kichaa lazima kipande maradufu zaididah aise!,
halafu tena ukute hanasi mimba dah![]()
Una watoto wa kike au bado haujazaa?napata tabu kujizuia kucheka gentleman dah!
kwahiyo wamejitunza sana halafu tena mambo yanajiri magumu. Inahuzunisha sana, inafedhehesha sana,
au walikua wanachagua sana?![]()
Sasa huo uchumi mkubwa bila kuwa hata na katoto kakuja kurithi huo uchumi wa kazi gani? yani unakuwa kama genda eka vile, agrghhhh,Ila watanzania bana yaan kwenye maisha yetu vitu tulivoweka mbele ni ndoa na watoto wakat wengine wanapigana kushika uchumi mkubwa sisi tuko buzy na mapenzi watoto ndoa hili bara letu Lina laana sijui ni laana ya nan.
Watu wanaona ndoa ni kitu kikubwa kwenye maisha watu wanaabudu ndoa kuliko dini zao shame on us
ni katika kujiridhisha na kuweka angalizo tu kwa generations zinazokuja kuhusu jambo hili bila unafiki kwamba ati hakuna tatizo.Mume bora hutoka kwa Bwana, na Watoto ni zawadi kutoka Kwa Mungu
Don't stress up our beautiful ladies out there

Mbona povuIla watanzania bana yaan kwenye maisha yetu vitu tulivoweka mbele ni ndoa na watoto wakat wengine wanapigana kushika uchumi mkubwa sisi tuko buzy na mapenzi watoto ndoa hili bara letu Lina laana sijui ni laana ya nan.
Watu wanaona ndoa ni kitu kikubwa kwenye maisha watu wanaabudu ndoa kuliko dini zao shame on us
Bado haujazaa?ni muhimu zaidi kuangazia jambo hili katika ujumla wake gentleman,
vinginevyo unaelekea kukiuka vigezo na masharti ya JF katika majadiliano![]()
Rekebisha heading . Hao ni wa mama siyo mabinti.Nini hasa huchochea hali hii ambayo pia wengi wao hufanikiwa kupata ujauzito kwa tabu sana, lakini wengine huhangaika kila mahali na kuambulia patupu, na hatimae hujikatia tamaa kabisa?🐒
naskia huruma sana.
Mungu Ibariki Tanzania