- Thread starter
- #21
Mie nna hilo tatizo kwenye Kabeji (Sijui kama nimepatia jina) tangu mdogo kabisa sielewani nayo kabisa, japo sasa hivi najitahidi kuzipenda na nnaona maendeleo yanaridhisha!!!!!
Kachumbari ya cabbage kwa pilau acha tu utamu wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie nna hilo tatizo kwenye Kabeji (Sijui kama nimepatia jina) tangu mdogo kabisa sielewani nayo kabisa, japo sasa hivi najitahidi kuzipenda na nnaona maendeleo yanaridhisha!!!!!
mwalimu unakosa mengi hasa kwenye kisamvu...kisamvu cha nazi tena kichanganywe na vijimbaazi kwa mbaaaali..lol ntakula mpaka kijungu kilicchopikiwa kipasuke. jitahidi utazoea kidogo kidogo. mie kunde na magimbi mhhh nala tu ila hayapandi katu
Mmh ntajaribu kupika cha hivo nione tehmwalimu unakosa mengi hasa kwenye kisamvu...kisamvu cha nazi tena kichanganywe na vijimbaazi kwa mbaaaali..lol ntakula mpaka kijungu kilicchopikiwa kipasuke. jitahidi utazoea kidogo kidogo. mie kunde na magimbi mhhh nala tu ila hayapandi katu
Mi Nlikuwa sili vitu kibao, ila siku hizi labda sili sumu tu. LolMie ni biringani, cabbage na kisamvu hizi mboga hapana kwakweli, tena mara mia na cabbage siku hizi ndo nakula kula zamani nlikua sigusi kabisa