Mkombozi wa mablogger bongo ni Adsterra, lakini hizi siku kadhaa kama haifanyi kazi inasumbua hivi au nikwangu tu wakuu? Ukiachana na adsterra nani mwingine ana cpm nzuri maana monetag duuh! Hapana
Tumia Google Adsense mkuu, ukishindw google Adsense Tumia Ezoic watakupa matangazo ya google Adsense, adstera mpaka Leo mm hawatak verify identity zangu, nawaonaga ni scammer tu