Brave_Idiot
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 209
- 368
Mkombozi wa mablogger bongo ni Adsterra, lakini hizi siku kadhaa kama haifanyi kazi inasumbua hivi au nikwangu tu wakuu? Ukiachana na adsterra nani mwingine ana cpm nzuri maana monetag duuh! Hapana
"Tupeni machimbo wakuu"
"Tupeni machimbo wakuu"