Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh...!. This is not fair at all!Media ya Tanzania haisaidii jamii kazi yake kubwa ni uchawa tu!
Utusamehe bure, media ya Tanzania hatutumii maji ya bomba, tunatumia ya visima, hivyo wala hatujui maji ni tope!.Yaani huku Tegeta maji yana matope kabisa lakini hakuna hata media moja inajadi badala yake wanajali Msigwa na upuuzi mwingine tu wa kichawa. 🙉
Siku hizi media ni wewe mwenyewe.Media ya Tanzania haisaidii jamii kazi yake kubwa ni uchawa tu!
Yaani huku Tegeta maji yana matope kabisa lakini hakuna hata media moja inajadi badala yake wanajali Msigwa na upuuzi mwingine tu wa kichawa. 🙉
Duh...!. This is not fair at all!
Utusamehe bure, media ya Tanzania hatutumii maji ya bomba, tunatumia ya visima, hivyo wala hatujui maji ni tope!.
Asante sana kuripoti, tutaifanyia kazi, pia kuangalia kama kuna shabu za kutosha.
P
Siku hizi media ni wewe mwenyewe.
Piga video clips, ongea matatizo yaliyopo, rusha kote, ita trend na wengine watapata content.
Dunia ya leo usingoje kufanyiwa, ukitaka media zinazojulikana tayari inabidsi uwalipe kama anavyofanya mpina.
Pasco unajua kuna namna unajua kila kitu ila unatumia knoweledge yako kuwahadaa watuDuh...!. This is not fair at all!
Utusamehe bure, media ya Tanzania hatutumii maji ya bomba, tunatumia ya visima, hivyo wala hatujui maji ni tope!.
Asante sana kuripoti, tutaifanyia kazi, pia kuangalia kama kuna shabu za kutosha.
P
Wanaitumia shabu kufanyaje wadada wa mjini?Pasco unajua kuna namna unajua kila kitu ila unatumia knoweledge yako kuwahadaa watu
1.shida ya hayo maji ni hayawekwa Aluminium sulphate na unajua...
2.nimejaribu kuloby mara nyingi nipate hiyo tender ila kuna ukiritimba sijawahi ona kuna kampuni moja tu imepewa hiyo tenda
3.kama maji yana mayope maana shabu kama unavyoiita haijafika au haijaagizwa na hili halijaanza leo
4.wadada wote wa mjini wana shabu ndani...(aluminium sulphate) wanapata wapi? Najua unajua kazi yake kwa wanawake
5.hapo sijaweka base za kuineutralise....ila shida yenu ukiritimba ..product yenyewe ina profit margin ndogo
6.huu ni uzembe mkubwa sana yaani genchi na siasa mnaacha wananchiwanywe maji ya matope
One of rascals people in this country.Siku hizi media ni wewe mwenyewe.
Piga video clips, ongea matatizo yaliyopo, rusha kote, ita trend na wengine watapata content.
Dunia ya leo usingoje kufanyiwa, ukitaka media zinazojulikana tayari inabidsi uwalipe kama anavyofanya mpina.
Bado enough nibwiki ya pili sasa maji yanatoka ya dizaini hiyoMedia ya Tanzania haisaidii jamii kazi yake kubwa ni uchawa tu!
Yaani huku Tegeta maji yana matope kabisa lakini hakuna hata media moja inajadi badala yake wanajali Msigwa na upuuzi mwingine tu wa kichawa. 🙉
Sentensi yako sijakuelewa, tafadhali andika Kiswahili.One of rascals people in this country.
Endelea kuhisi, u will shot dead. Gen-z wapo serious.Sentensi yako sijakuelewa, tafadhali andika Kiswahili.
Nahisi kama haijakaa sawa "grammatical".
Una Kadi? Ipi?2.nimejaribu kuloby mara nyingi nipate hiyo tender ila kuna ukiritimba sijawahi ona kuna kampuni moja tu imepewa hiyo tenda
I never shot anyone.Endelea kuhisi, u will shot dead. Gen-z wapo serious.
Wewe ndio ujifunze.I never shot anyone.
Jifunze kuandika Kingereza.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?