Uchaguzi 2020 Mabomu ya machozi yarindima Iramba Magharibi

Uchaguzi 2020 Mabomu ya machozi yarindima Iramba Magharibi

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
5,252
Reaction score
8,003
Mabomu ya machozi yanarindima wakati huu jimbo La Iramba Magharibi mkoani Singida ambapo Mgombea ubunge jimbo hilo kupitia CHADEMA Bi Jesca Kishoa inasemekana amekamatwa na kufungiwa ofisi za msimamizi wa uchaguzi.

Chanzo cha mabomu hayo kinadaiwa kuwa ni vurugu zilizotokea baada ya kutokea mabishano makali kati ya mgombea huyo na Msimamizi wa Uchaguzi, Inadaiwa kuwa JESCA KISHOA alimwekea pingamizi mgombea mwenzake kupitia CCM, Dkt Mwigulu Nchemba na mpaka sasa msimamizi amekataa kutoa majibu yake. Hali ya kukataa kutoa majibu ya pingamizi imepelekea hasira kwa mgombea huyo pamoja na wafuasi wake na ndiyo chanzo cha kuzuka kwa vurugu.

249C372A-9F5C-44E4-B873-A547CD882333.jpeg


 
Kwa jinsi nchi hii ilivyo kubwa,sidhani kama kuna Polisi wa kutosha kudhibiti maelfu ya wapinzani wa nchi hii.

Wacheni tufike wanakotaka kutufikisha labda ndio heshima itafuata.

Bwani fulani Jumapili huyo kanisani anasahau Mungu hadhihakiwi.
 
Mi mwenyewe hapa namalizia kupiga chupa ya mwisho nikajifungue na toto la kimanga
Endeleeni tu kuelewana, mi naingia kulala na mchepuko wangu. Asubuhi tutawaletea chai hospitali kama si kituo cha polisi. Kazi njema
 
Back
Top Bottom