Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
JK alitengeneza kizazi cha hovyo sana kwenye siasa.Hopeless politician.
Huyu Magufuli anatengeneza genge la wahuni badala ya kutengeneza wanasiasa wazuri kwa taifa letu.
Labda kwa sababu na yeye ni wa hivyo hivyo tu.