Huyu hana tofauti na Al-shabaab yeye anadhani anakomesha wapinzani wake lakini ipo siku hivyo vikundi vyake vitamchoka na kumgeuka. Historia ni mwalimu Mzuri sana.
Boss huwa nikiona unaandika kwa kingereza huwa ninacheka sana. Halafu inaonekana ww ni limbukeni fulani uliyekuja mjini ukubwani, hivyo unadhani ukiongea kiingereza kutaongeza thamani ya hoja zako. Lakini ukipitia unachoondika, ni utoto mtupu.