LGE2024 Mabomu ya machozi yarindima Mbezi Luis baada ya CHADEMA kuchachamaa kuwa wameibiwa Uchaguzi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Huko Mbezi Luis Jeshi La Polisi limetumia mabomu ya machozi kutawanyisha wana CHADEMA waliokuwa wanadai kuwa Mtendaji amemtangaza mgombea wa CCM kama mshindi badala ya mgombea wa CHADEMA ambaye ndiyo alikuwa ameshinda

Huyu fimbo alijua hashindi kabisa

USSR
 
Dah halafu kuna mtu anasema ccm mwakani inatoka
 
Wakuu,

Huko Mbezi Luis Jeshi La Polisi limetumia mabomu ya machozi kutawanyisha wana CHADEMA waliokuwa wanadai kuwa Mtendaji amemtangaza mgombea wa CCM kama mshindi badala ya mgombea wa CHADEMA ambaye ndiyo alikuwa ameshinda

View attachment 3165147
Huyu reporter anataka kijikojolea
 
Back
Top Bottom