Mabomu ya machozi yatumika kutawanya waandamanaji

Watasema hii imeletwa na watanzania kwa sababu wamekataa kufunga mpaka
 
[emoji15][emoji15][emoji15] Taarifa ni kutoka kwa Standard Media, video Citizen Tv. Usijaribu kufananisha Kenya na Magufulistan. Sijaelewa hoja ya mleta mada lakini, alitaka Kenya Police watumie nini wakati wanapambana na waandamanaji? Laughing gas?
Huwa haifananishwi Kenya na Tanzania,huku mambo kama ukabila na ubaguzi tushasahau siku nyingi sana tangu mababu na mababu,Nyerere akaja akafuta kabisa kabisa,kwanza leo hata kuna watu huku hawajuagi wao ni kabila gani.
 
Acha upuuzi ubaguzi mnawafanyia upinzani mchana kweupe huoni? Ubaguzi Tanzania ni zaidi ya ukaburu afrika kusini enzi za apartheid.
 
IT'S BETTER TO DIE FROM... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
bora m7 aliamua kuwapa wananchi wake kilo 6 za unga na kilo tatu za maharage wananchi wake.
Tangu niisikie hii habari sijasikia tena akiwapa unga na maharage.
KULISHA WATU MCHEZO
Endeleeni tu kujifanya hamuoni yanayoendelea kwa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha upuuzi ubaguzi mnawafanyia upinzani mchana kweupe huoni? Ubaguzi Tanzania ni zaidi ya ukaburu afrika kusini enzi za apartheid.
Kweli wewe akili zako zipo dunia ya kumi na nane.
 
Acha upuuzi ubaguzi mnawafanyia upinzani mchana kweupe huoni? Ubaguzi Tanzania ni zaidi ya ukaburu afrika kusini enzi za apartheid.
Kwa kifupi tu,chukua namba namba nane ziandike kwa pamoja katika karatasi kubwa kisha ziweke mezani,kaa upande wa pili muite mwanao na yeye akae upande wa kwanza halafu muulize ameona nambangapi,jibu atakalo pata lazima lifanane na wewe,lisipo fanana nirudie nitakwambia ulikosea wapi,likifanana nitakwambia pia ulikosea wapi hadi mwanao akapatia kukushinda wewe.
 
I don't do trivials.
 
Kenya has lost direction many years ago! So some of the Kunyalanders are still bragging on their once title! Wake up you slum dwellers you've never being a super power rather a hunger dodger!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…