Ukiwa unaishi na kufanya mishe zako Zenji inakubidi uwe chap na vizuri Sanaa kichwani.
Kifupi mbongo hapendeki Zenji haswa akiwa mtu wa mishe haswa mkomaaji. Utawekewa vikao na pesa zitachangwa na kisha utashughulikiwa kikamilifu na utasepa bila ya kuaga.
Ubaguzi ni kitu cha kawaida Zenji haswa ukiwa unachomoza kuliko wengine.
Wao wanapenda uishi kama zezeta yaani boya hapo aaah watakuwa wanakutizama tu maana wao wakifanya kazi ikifika mchana anakwenda kulala.
Karibuni Zenji'baa