PostGE2025 Mabondia watangaza kuwapiga waandamanaji Desemba 9

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hivi wanajielewa kweli? mbona kama majinga hivi

Yani wanaitisha press halafu wanaongea ujinga na kutoa vitisho.
==========
Chama Cha Mabondia nchini kimeomba serikali iwaruhusu na iwape mavazi maalumu ya kuvaa ili wakakabiliane na Wananchi watakaojitokeza kuandamana tarehe 9 mwezi huu.

View attachment 3512241
waandamanaji wana hali ngumu sana, wafanya biashara, mabondia, polisi wote wanawinda
 
Mi nimeshaosha panga langu butu na silinoi makusudi kuchinja nyumbu mwizi na muharibifu wa mali za watu na panga butu ndo atapata maumivu zaidi
yaani unagawa kichapo na tetenas kwa pamja
 
Hivi wanajielewa kweli? mbona kama majinga hivi

Yani wanaitisha press halafu wanaongea ujinga na kutoa vitisho.
==========
Chama Cha Mabondia nchini kimeomba serikali iwaruhusu na iwape mavazi maalumu ya kuvaa ili wakakabiliane na Wananchi watakaojitokeza kuandamana tarehe 9 mwezi huu.

View attachment 3512241
Upuuzi mtupu
 
Hapa ndio hii Serikali inapofeli kujirudisha kwa wananchi, inakuwaje wanaacha watu wa hovyo kushika mic, badala ya kutuunganisha wao wanavuruga, hivi vitisho havisaidii tena, itafutwe namna nzuri kutoka ndani ya Chama/Serikalini ambao wakiongea Watanzania watapata ahueni, sio kutishana.
Ni wapumbavu na wanaamini hiyo inawasaidia.
 
Hao hamna kitu huyo wa kushoto anaitwa bugo anaeongea anaitwa mudi mgomvi njaa tupu huyo mudi mgomvi aliwah kupewa hela kuanzisha vurugu enzi ya mgogoro wa lipumba na malim seif kilichokamkuta aliomba pooo hao wanaishi mabibo na ni team ya mfaume mfaume hiyo
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Hivi wanajielewa kweli? mbona kama majinga hivi

Yani wanaitisha press halafu wanaongea ujinga na kutoa vitisho.
==========
Chama Cha Mabondia nchini kimeomba serikali iwaruhusu na iwape mavazi maalumu ya kuvaa ili wakakabiliane na Wananchi watakaojitokeza kuandamana tarehe 9 mwezi huu.

View attachment 3512241
Hawa nao wamekubali kununuliwa na wauaji na kutumika kama kondom?
 
Polisi wameacha kutisha watu kwa sababu wameona haiwezekani kutisha watu sasa wanaibuka watu ambao kwa namna moja wanachochea zaidi vurugu ili watu wakiamua kutoandamana waje wajisifie kwani hyo tarehe 29 walikuwa wapi kuzuia walioleta vurugu
 
Bahasha zimetembea sehemu nyingi sna
 
Hivi wanajielewa kweli? mbona kama majinga hivi

Yani wanaitisha press halafu wanaongea ujinga na kutoa vitisho.
==========
Chama Cha Mabondia nchini kimeomba serikali iwaruhusu na iwape mavazi maalumu ya kuvaa ili wakakabiliane na Wananchi watakaojitokeza kuandamana tarehe 9 mwezi huu.

View attachment 3512241
Samia anatumia watu wa hovyo kabisa kumtetea hadi aibu
 
Mi nimeshaosha panga langu butu na silinoi makusudi kuchinja nyumbu mwizi na muharibifu wa mali za watu na panga butu ndo atapata maumivu zaidi
markup_1000203681.png
 
Mi nimeshaosha panga langu butu na silinoi makusudi kuchinja nyumbu mwizi na muharibifu wa mali za watu na panga butu ndo atapata maumivu zaidi

Usipate tabu, wewe na hawa mabondia uchwara tarehe 9 vaeni magwanda ya CCM mjitokeze barabarani. Hatutaki maneno matupu sisi
 
Bado chama cha wachawi na wanga, chama cha mabaunsa, chama cha wapiga chuma, chama cha maradhuli na vyama vingine vingi vya kipuuzi kutoa matamko yao
 
Back
Top Bottom