waandamanaji wana hali ngumu sana, wafanya biashara, mabondia, polisi wote wanawindaHivi wanajielewa kweli? mbona kama majinga hivi
Yani wanaitisha press halafu wanaongea ujinga na kutoa vitisho.
==========
Chama Cha Mabondia nchini kimeomba serikali iwaruhusu na iwape mavazi maalumu ya kuvaa ili wakakabiliane na Wananchi watakaojitokeza kuandamana tarehe 9 mwezi huu.
View attachment 3512241
yaani unagawa kichapo na tetenas kwa pamjaMi nimeshaosha panga langu butu na silinoi makusudi kuchinja nyumbu mwizi na muharibifu wa mali za watu na panga butu ndo atapata maumivu zaidi
Upuuzi mtupuHivi wanajielewa kweli? mbona kama majinga hivi
Yani wanaitisha press halafu wanaongea ujinga na kutoa vitisho.
==========
Chama Cha Mabondia nchini kimeomba serikali iwaruhusu na iwape mavazi maalumu ya kuvaa ili wakakabiliane na Wananchi watakaojitokeza kuandamana tarehe 9 mwezi huu.
View attachment 3512241
ivi na wewe ni bondiaUpuuzi mtupu
Ni wapumbavu na wanaamini hiyo inawasaidia.Hapa ndio hii Serikali inapofeli kujirudisha kwa wananchi, inakuwaje wanaacha watu wa hovyo kushika mic, badala ya kutuunganisha wao wanavuruga, hivi vitisho havisaidii tena, itafutwe namna nzuri kutoka ndani ya Chama/Serikalini ambao wakiongea Watanzania watapata ahueni, sio kutishana.
Hawa nao wamekubali kununuliwa na wauaji na kutumika kama kondom?Hivi wanajielewa kweli? mbona kama majinga hivi
Yani wanaitisha press halafu wanaongea ujinga na kutoa vitisho.
==========
Chama Cha Mabondia nchini kimeomba serikali iwaruhusu na iwape mavazi maalumu ya kuvaa ili wakakabiliane na Wananchi watakaojitokeza kuandamana tarehe 9 mwezi huu.
View attachment 3512241
Samia anatumia watu wa hovyo kabisa kumtetea hadi aibuHivi wanajielewa kweli? mbona kama majinga hivi
Yani wanaitisha press halafu wanaongea ujinga na kutoa vitisho.
==========
Chama Cha Mabondia nchini kimeomba serikali iwaruhusu na iwape mavazi maalumu ya kuvaa ili wakakabiliane na Wananchi watakaojitokeza kuandamana tarehe 9 mwezi huu.
View attachment 3512241
Mi nimeshaosha panga langu butu na silinoi makusudi kuchinja nyumbu mwizi na muharibifu wa mali za watu na panga butu ndo atapata maumivu zaidi
Usisahau na kunyoa wakija kukupelekea moto wasikuchane 😹Mi nimeshaosha panga langu butu na silinoi makusudi kuchinja nyumbu mwizi na muharibifu wa mali za watu na panga butu ndo atapata maumivu zaidi