Mabonge ya almasi yaliyowahi kuchimbwa Mwadui!

Ujinga ni kuongea hadharani kuwa "nitawalinda, wamefanya kazi kubwa wapumzike" halafu unataka tukuone malaika aliyekuja kukomboa. Ni wenye magma ndani ya vichwa vyao watakaofanya huu umama
 
Ukichaa mwingine sasa utadiscuss ukubwa wa almasi bila kudiscuss faida yake?
 
Ingekuwa vizuri zaidi mngetuambia hizo carat zipo equivalent na gram grapi
 
Huu mgodi haujawahi kulipa kodi inayotokana na faida kwa mujibu wa ripoti ya CAG maana kila mwaka wanadai wanapata hasara! Tunachoambulia ni tozo tu mbali mbali ambazo pia ni kidogo sana kama vile mrahaba
 
Una ubongo au uji wa dona humo kichwani mwako
Kwataarifa yako Dona ina virutubisho vingi kwamahitaji ya ubongo....nahisi weweutakuwa umejaza mlenda
 
Kwataarifa yako Dona ina virutubisho vingi kwamahitaji ya ubongo....nahisi weweutakuwa umejaza mlenda
Kumbe ndo maana, una dona sio ubongo ndo maana daima akili yako iko hivi
 
Vipi lile alilopewa mkapa
Kwenye kolea

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Mzigo mmoja tu hisa za kampuni zinaanguka vibaya
 
kweli tumeliwa

beautian proffessional

 
CCM imeifukarisha nchi yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Barafu njoo huku kunamtu anatujingalao huku

RISASI ZA NINI TENA JAMANI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…