Mabonge ya almasi yaliyowahi kuchimbwa Mwadui!

Ujinga ni kuongea hadharani kuwa "nitawalinda, wamefanya kazi kubwa wapumzike" halafu unataka tukuone malaika aliyekuja kukomboa. Ni wenye magma ndani ya vichwa vyao watakaofanya huu umama
 
Mr. Bigman
Nimekuwekea source ya hilo andiko....mimi nimejikita kwenye Upatikanaji wa mabonge ya ajabu ya almasi kutoka hapo mwadui.
Issue ya mikataba tutaijadili tu ila sio kwenye thread hii.

By the way hata ningeandika huo umiliki wa 25% bado sio andiko la mkataba na hivyo hatuwezi kujadili.
Ukichaa mwingine sasa utadiscuss ukubwa wa almasi bila kudiscuss faida yake?
 
Ingekuwa vizuri zaidi mngetuambia hizo carat zipo equivalent na gram grapi
 
for the past 76 years watu wanachimba na kuuza,naomba kuuliza kwa miaka yote hiyo(au tokea tupate uhuru since 76 years is beyond 1961) kama taifa tumefaidika kwa kiasi gani na tozo ya huo mgodi pekee?maana kwa mabolus hayo mawili na mengine ambayo hayakutajwa ingetupasa kama nchi tuwe somewhere else economically for these mines,ila kwa kuwa ujinga umetangulizwa mbele ya werevu na wajinga kama kina jingalao tusitegemee mengi.
Huu mgodi haujawahi kulipa kodi inayotokana na faida kwa mujibu wa ripoti ya CAG maana kila mwaka wanadai wanapata hasara! Tunachoambulia ni tozo tu mbali mbali ambazo pia ni kidogo sana kama vile mrahaba
 
Vipi lile alilopewa mkapa
Kwenye kolea

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Mzigo mmoja tu hisa za kampuni zinaanguka vibaya
 
Katika thread hii tutashuhudia mabonge ya almasi yaliyowahi kuchimbwa katika mgodi wa Williamson kule Mwadui na kuvunja rekodi za ukubwa za dunia na yaliyovunja rekodi za mauzo.

March 29, 2016
Petra Diamonds announced that it sold an exceptional 32.33-carat "bubblegum" pink rough diamond for a remarkable $15 million, or $463,965 per carat. The stone was sourced in Tanzania at Petra's legendary Williamson Mine, which has been producing gem-quality "bubblegum" pink diamonds for the past 76 years.

The diamond was purchased by Golden Yellow Diamonds on behalf of Israeli diamond manufacturer M. A. Anavi Diamond Group, a company specializing in colored diamonds.

As part of the deal, Petra also retained an interest in the diamond once it's polished, so when the faceted gem is sold, Petra will earn 10% of the "value uplift" of that sale, as well.

Petra's most recent find outperformed another notable pink diamond that we wrote about in November 2015. That rough diamond, also from Petra's Williamson Mine and also purchased by Golden Yellow Diamonds on behalf of M. A. Anavi Diamond Group, weighed 23.16 carats and sold for $10.1 million, or $433,938 per carat. At the time, we reported that it was Petra's most significant recovery from the mine to date. Clearly, the 32.33-carat diamond replaces the November discovery as its best find yet.

Vivid pink diamonds of exceptional size and quality are a favorite of gem connoisseurs. In early November, billionaire Joseph Lau purchased a cushion-shaped 16.08-carat pink diamond for $28.5 million ($1.7 million per carat), setting an auction record for any vivid pink diamond.

Although the Williamson Mine has been operational for more than three-quarters of a century and has already generated 20 million carats of diamonds, geologists believe the mine still has the capacity to deliver an additional 40 million carats. The mine’s average depth is only 30 to 35 meters, and theoretically it could continue to yield diamonds as deep as 350 meters.

Pink diamonds owe their bubblegum color to the effects of intense pressure and heat while they were still deep within the earth. These factors caused distortions in the diamond’s crystal lattice that influence the way the diamond absorbs green light, thus reflecting a pink hue.

The Williamson Mine is currently co-owned by Petra Diamonds and the government of Tanzania, which holds a 25% stake.

My Take:
Kwa taarifa hii upo uwezekano wa kupatikana kwa Mabonge mengi ya aina hii na moja tu likawekwa sokoni.

Inavyoelekea hapo Mwadui ni Utajiri wa kufa mtu uliolala basi ni heri tusimame kama taifa kupigania rasilimali hii ili itusaidie kuboresha hali ya maisha yetu.

Tanzania's Williamson Mine Yields Another Exceptional 'Bubblegum' Pink Diamond; Petra Sells 32-Carat Gem for $15M
kweli tumeliwa

beautian proffessional

CCM imeifukarisha nchi yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Barafu njoo huku kunamtu anatujingalao huku

RISASI ZA NINI TENA JAMANI!
 
Back
Top Bottom