Maboresho kwa ramani hii

Maboresho kwa ramani hii

Nkondo 2

Senior Member
Joined
Oct 10, 2016
Posts
181
Reaction score
144
Ndugu wadau wa jukwaa, naomba ushauri ikiwa upo kwa kuiboresha ramani hii ambayo nimeipenda nahitaji kuanza ujenzi wake mdogomdogo.
Karibuni....
IMG_20220607_120134.jpg

Inaonekana pia ramani ina option kwamba unaweza fanya nyuma pakawa mbele na mbele pawe nyuma ipi itakuwa ni busara zaidi?

Pia naomba kufahamishwa kwenye korido kuelekea master kuna v mistarimistari hapo hiyo inamaanisha kitu gani?
 
RRONDO, DeepPond.
Binafsi hii ni ramani nzuri sana, ila sio nyumba ndogo au ya kawaida...its a very big house. Self contained rooms, study room, everything looks spacious.

Labda aweke open-kitchen na huo mlango wa kutokea sitting room uzibwe liwekwe dirisha moja kubwa(1ft from the ground)kwa ajili ya circulation nzuri ya hewa.

Otherwise it looks perfect for me, ni mpunga tu hapo hakyanani.
 
Ndugu wadau wa jukwaa, naomba ushauri ikiwa upo kwa kuiboresha ramani hii ambayo nimeipenda nahitaji kuanza ujenzi wake mdogomdogo.
Karibuni....View attachment 2253049
Ulipoweka Patio kuwe main entrance, na huku ulipoweka main entrance kuwe patio. Kifupi mbele kuwe nyuma,nyuma kuwe mbele.
 
Nimekuelewa mkuu, shukrani Sana niliwaza Sana kuhusu hewa sebleni ila wazo lako huenda likawa suluhisho
 
Shukrani mkuu, kuhusu mzunguko wa hewa sebleni hapo vipi? Maana hakuna dirisha la uhakika, unashauri vp?
 
Nimekuelewa mkuu, shukrani Sana niliwaza Sana kuhusu hewa sebleni ila wazo lako huenda likawa suluhisho
Kweli sebule hapo kwanza ventilation mana sioni dirisha. Pili u atakiwa kuweka french doors maana ukifunga ac alafu kupo wazi kwenye upande wa dinning na upande wa foyer itakuwa kazi bure tuu. So pande zote mbili weka french doors.

Hiyo public toilet mbona kama ipo chobingo sana...sii mtu anaweza ingia kwenye vyumba vya watoto mzeya.
 
Shukrani Sana mkuu, mawazo yako ni mazuri nimeyapokea.
 
Karibu mzeya hii naona ata mie nikirekebisha nitaanza ujenzi 2023.
Wataalam wa mambo wamekwambia estimated cost ya kujenga nyumba hii ni million mia ngapi?
 
Ndugu wadau wa jukwaa, naomba ushauri ikiwa upo kwa kuiboresha ramani hii ambayo nimeipenda nahitaji kuanza ujenzi wake mdogomdogo.
Karibuni....View attachment 2253049

Inaonekana pia ramani ina option kwamba unaweza fanya nyuma pakawa mbele na mbele pawe nyuma ipi itakuwa ni busara zaidi?

Pia naomba kufahamishwa kwenye korido kuelekea master kuna v mistarimistari hapo hiyo inamaanisha kitu gani?
Public toilet iko wapi?.. ramani ni nzuri lakini
 
Karibu mzeya hii naona ata mie nikirekebisha nitaanza ujenzi 2023.
Wataalam wa mambo wamekwambia estimated cost ya kujenga nyumba hii ni million mia ngapi?
Dah! Mimi huwa si muumini wa kuuliza mambo ya estimated cost huwa naona ni kupoteza muda, muhmu ni kuanza na ulichonacho tu. Nikimaliza ndo ntawaeleza wengine nimetumia sh ngapi....hahaaa
 
Ndugu wadau wa jukwaa, naomba ushauri ikiwa upo kwa kuiboresha ramani hii ambayo nimeipenda nahitaji kuanza ujenzi wake mdogomdogo.
Karibuni....View attachment 2253049

Inaonekana pia ramani ina option kwamba unaweza fanya nyuma pakawa mbele na mbele pawe nyuma ipi itakuwa ni busara zaidi?

Pia naomba kufahamishwa kwenye korido kuelekea master kuna v mistarimistari hapo hiyo inamaanisha kitu gani?
Mkuu hebu tupe BOQ za kusimamisha hii nyumba mpaka iishe.
 
Ramani imekaa poa, weka dirisha kubwa tu hapo veranda ya nyuma. Ila nyumba kubwa sana zaidi ya sqm 230. Sasa kwa gharama ya minimum laki 3 kwa sqm itabidi ujipange na atleast mil 70 hivi
 
Back
Top Bottom