ozark
JF-Expert Member
- Dec 31, 2021
- 626
- 1,592
Open kitchen,unganisha dining,sebule na jiko.kama uwezo upo lakini,usiweke huo ukuta uliotenganisha jiko na dining.Ndugu wadau wa jukwaa, naomba ushauri ikiwa upo kwa kuiboresha ramani hii ambayo nimeipenda nahitaji kuanza ujenzi wake mdogomdogo.
Karibuni....View attachment 2253049
Inaonekana pia ramani ina option kwamba unaweza fanya nyuma pakawa mbele na mbele pawe nyuma ipi itakuwa ni busara zaidi?
Pia naomba kufahamishwa kwenye korido kuelekea master kuna v mistarimistari hapo hiyo inamaanisha kitu gani?