Maboresho kwa ramani hii

Maboresho kwa ramani hii

Ndugu wadau wa jukwaa, naomba ushauri ikiwa upo kwa kuiboresha ramani hii ambayo nimeipenda nahitaji kuanza ujenzi wake mdogomdogo.
Karibuni....View attachment 2253049

Inaonekana pia ramani ina option kwamba unaweza fanya nyuma pakawa mbele na mbele pawe nyuma ipi itakuwa ni busara zaidi?

Pia naomba kufahamishwa kwenye korido kuelekea master kuna v mistarimistari hapo hiyo inamaanisha kitu gani?
Open kitchen,unganisha dining,sebule na jiko.kama uwezo upo lakini,usiweke huo ukuta uliotenganisha jiko na dining.
 
Mkuu umesema unataka uanze kujenga mdogo mdogo, hiyo ramani ukianza kujenga hadi nyumba ikamilike kias ANGALAU mtu unaweza kuingia kuishi itakuchukua muda mrefu sana, otherwise kama umesema "mdogomdogo" kwa maana yakutotaka kujimwambafai... But kiukweli hiyo nyumba ni kubwa sana na gharama sana... Kama umejiandaa kifedha kila lakheri ila kama tia maji tia maji tafuta raman nyingine simple and clear anza ujenzi...
 
Nimekuelewa mkuu, bt siko kwenye presha kubwa ya kujenga kwa haraka so nitamudu tu ndgu.
 
Nakushauri achana na hii ramani tafuta ramani simple ,usije kujutia ukasema hatujakushauri ,majuto ni mjukuu ,jitahidi angalau isizidi sqm 200 hii bado ni kubwa na utaifurahia
 
Kiufupi ukiwa unajenga ukimaliza kimoja unatamani uanze kingine wala sio suala la presha ya kujenga,ukianza ujenzi utanielewa nachomanisha ,punguza space ya vyumba na vyoo nyumba isiwe kubwa sana itakuchosha mwishoe utajutia utaona ujenz mgumu
 
Ndugu wadau wa jukwaa, naomba ushauri ikiwa upo kwa kuiboresha ramani hii ambayo nimeipenda nahitaji kuanza ujenzi wake mdogomdogo.
Karibuni....View attachment 2253049

Inaonekana pia ramani ina option kwamba unaweza fanya nyuma pakawa mbele na mbele pawe nyuma ipi itakuwa ni busara zaidi?

Pia naomba kufahamishwa kwenye korido kuelekea master kuna v mistarimistari hapo hiyo inamaanisha kitu gani?
Naona hakuna aliekujibu kuhusu hivyo vimistari kuingia master ni ngazi. Huenda ni ghorofa ya kishkaji ambapo master room ipo floor ya kwanza. I stand to be corrected.
 
Ooooh sawa mkuu, nashukuru.
 
Nakushauri achana na hii ramani tafuta ramani simple ,usije kujutia ukasema hatujakushauri ,majuto ni mjukuu ,jitahidi angalau isizidi sqm 200 hii bado ni kubwa na utaifurahia
Inaezekana ni nyumba yake ya pili au ya tatu, kwa hyo haitaji haraka
 
Au pengine ni nyumba kwa ajili ya kuiuza. Maana siku hizi kuna watu hawataki mambo ya kujenga nyumba kwa sababu ya presha za material na mafundi. Hivyo, wanataka nyumba ready made!
 
Pia naomba kufahamishwa kwenye korido kuelekea master kuna v mistarimistari hapo hiyo inamaanisha kitu gani?

Lakini mkuu inakuaje una uwezo wa kujenga nyumba ya karibu 100mil lakini unashindwa kutafuta architect au injinia akusaidie baadhi ya vitu mpaka uje utuulize mambo ya mistari humu jukwaani?

Tujitahidi kutumia wataalamu kuna sababu kwanini wanatumia miaka 4 mpaka 5 chuoni kusomea mambo ya ujenzi.
 
Asante kwa ushauri mkuu. Sijapuuza utaalamu, kuweka humu ni hatua ya kupanua mawazo Kwanza kabla kuendelea na hatua za kitaalamu.

Unapokutana na mtalamu huku na wewe una walau abc, una nafasi nzuri ya kumfanya achangamke tofauti na ukiwa tiara tu.
 
Kweli sebule hapo kwanza ventilation mana sioni dirisha. Pili u atakiwa kuweka french doors maana ukifunga ac alafu kupo wazi kwenye upande wa dinning na upande wa foyer itakuwa kazi bure tuu. So pande zote mbili weka french doors.

Hiyo public toilet mbona kama ipo chobingo sana...sii mtu anaweza ingia kwenye vyumba vya watoto mzeya.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Naona hakuna aliekujibu kuhusu hivyo vimistari kuingia master ni ngazi. Huenda ni ghorofa ya kishkaji ambapo master room ipo floor ya kwanza. I stand to be corrected.
Mkuu kama hiyo master iko floor ya kwanza. Je, hapo chini yake kuna nini? Am desperate to know.
 
Hivyo vi mstari ni ngazi za kupanda Master Bedroom ambayo ipo juu (kighorofa), hii ramani ya nyumba kubwa sana na ukipata mtaalamu akushushie BOQ unaweza kukata tamaa. Bila shaka umeitoa mtandaoni inakubidi kuileta kwenye uhalisia uchorewe michoro yote ya Architectural & Structural Designs
 
Back
Top Bottom