Ulipoweka Patio kuwe main entrance, na huku ulipoweka main entrance kuwe patio. Kifupi mbele kuwe nyuma,nyuma kuwe mbele.Ndugu wadau wa jukwaa, naomba ushauri ikiwa upo kwa kuiboresha ramani hii ambayo nimeipenda nahitaji kuanza ujenzi wake mdogomdogo.
Karibuni....View attachment 2253049
Ndugu wadau wa jukwaa, naomba ushauri ikiwa upo kwa kuiboresha ramani hii ambayo nimeipenda nahitaji kuanza ujenzi wake mdogomdogo.
Karibuni....View attachment 2253049
Nimekuelewa mkuu, shukrani Sana niliwaza Sana kuhusu hewa sebleni ila wazo lako huenda likawa suluhishoRRONDO, DeepPond.
Binafsi hii ni ramani nzuri sana, ila sio nyumba ndogo au ya kawaida...its a very big house. Self contained rooms, study room, everything looks spacious.
Labda aweke open-kitchen na huo mlango wa kutokea sitting room uzibwe liwekwe dirisha moja kubwa(1ft from the ground)kwa ajili ya circulation nzuri ya hewa.
Otherwise it looks perfect for me, ni mpunga tu hapo hakyanani.
Shukrani mkuu, kuhusu mzunguko wa hewa sebleni hapo vipi? Maana hakuna dirisha la uhakika, unashauri vp?Ulipoweka Patio kuwe main entrance, na huku ulipoweka main entrance kuwe patio. Kifupi mbele kuwe nyuma,nyuma kuwe mbele.
Shukran mkuu.
Hapa lazima uweke dirisha kubwa lianzie kozi ya kwanza Hadi lintaShukrani mkuu, kuhusu mzunguko wa hewa sebleni hapo vipi? Maana hakuna dirisha la uhakika, unashauri vp?
Kweli sebule hapo kwanza ventilation mana sioni dirisha. Pili u atakiwa kuweka french doors maana ukifunga ac alafu kupo wazi kwenye upande wa dinning na upande wa foyer itakuwa kazi bure tuu. So pande zote mbili weka french doors.Nimekuelewa mkuu, shukrani Sana niliwaza Sana kuhusu hewa sebleni ila wazo lako huenda likawa suluhisho
Shukrani Sana mkuu, mawazo yako ni mazuri nimeyapokea.Kweli sebule hapo kwanza ventilation mana sioni dirisha. Pili u atakiwa kuweka french doors maana ukifunga ac alafu kupo wazi kwenye upande wa dinning na upande wa foyer itakuwa kazi bure tuu. So pande zote mbili weka french doors.
Hiyo public toilet mbona kama ipo chobingo sana...sii mtu anaweza ingia kwenye vyumba vya watoto mzeya.
Karibu mzeya hii naona ata mie nikirekebisha nitaanza ujenzi 2023.Shukrani Sana mkuu, mawazo yako ni mazuri nimeyapokea.
Public toilet iko wapi?.. ramani ni nzuri lakiniNdugu wadau wa jukwaa, naomba ushauri ikiwa upo kwa kuiboresha ramani hii ambayo nimeipenda nahitaji kuanza ujenzi wake mdogomdogo.
Karibuni....View attachment 2253049
Inaonekana pia ramani ina option kwamba unaweza fanya nyuma pakawa mbele na mbele pawe nyuma ipi itakuwa ni busara zaidi?
Pia naomba kufahamishwa kwenye korido kuelekea master kuna v mistarimistari hapo hiyo inamaanisha kitu gani?
Hujaiona pale chobingo mzeya🤣🤣🤣🤣Public toilet iko wapi?.. ramani ni nzuri lakini
Dah! Mimi huwa si muumini wa kuuliza mambo ya estimated cost huwa naona ni kupoteza muda, muhmu ni kuanza na ulichonacho tu. Nikimaliza ndo ntawaeleza wengine nimetumia sh ngapi....hahaaaKaribu mzeya hii naona ata mie nikirekebisha nitaanza ujenzi 2023.
Wataalam wa mambo wamekwambia estimated cost ya kujenga nyumba hii ni million mia ngapi?
Hapo jirani na chumba cha wageni pamoja na vyumba vya watoto.Public toilet iko wapi?.. ramani ni nzuri lakini
Kimepakana na toilet ya guest bedroomPublic toilet iko wapi?.. ramani ni nzuri lakini
Mkuu hebu tupe BOQ za kusimamisha hii nyumba mpaka iishe.Ndugu wadau wa jukwaa, naomba ushauri ikiwa upo kwa kuiboresha ramani hii ambayo nimeipenda nahitaji kuanza ujenzi wake mdogomdogo.
Karibuni....View attachment 2253049
Inaonekana pia ramani ina option kwamba unaweza fanya nyuma pakawa mbele na mbele pawe nyuma ipi itakuwa ni busara zaidi?
Pia naomba kufahamishwa kwenye korido kuelekea master kuna v mistarimistari hapo hiyo inamaanisha kitu gani?
AiseeMkuu hebu tupe BOQ za kusimamisha hii nyumba mpaka iishe.