Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Maboresho ya Barabara ya Mpiji Magoe hadi Kibamba ndani ya Dar es Salaam umeanza kwa siku kadhaa sasa, hatua iliyofikiwa ni kumwaga kifusi na kushindilia, pia mashimo ambayo yalikuwepo awali yanasawazishwa
Upande wa Barabara ya Mbezi to Mpiji Magoe nayo imerekebishwa bado sehemu chache sana.
UPDATES....
Hatua ya ukarabati imekuja baada ya Wadau mbalimbali wa JamiiForums kutoa malalamiko yao kupitia sehemu za kutoa maoni katika kurasa za kijamii na kwenye majukwaa ya JamiiForums.com kuhusu barabara husika.