Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
Nimekua nikitumia hii app ya kupatana kwa muda
Nimekua nikiuza na kununua vitu mbalimbali!! Ila tangu ilivofanyiwa mabadiliko ya app/web sijauzaa hata bidhaa moja hata niweke bei ya chini kuliko uhalisia sipat simu wala kuulizwa!!
Binafsi walinikera walivoibadili!! coz walibadili kila kitu muonekano,taratibu za kupost na kudesign tangazo,,,sikupenda nikasimama kwamuda hata kuitumia
Sasa niliporudi tena ndio nmekutana na tatzo la wateja kuto kunitafuta ninapoweka tangazo !! Najiuliza watu wengi wameacha kutumia?? Au bundle imekua gharama watu hawaingii?
Au maisha magumu watu wananunua chakula tu?
Lakini je wale wasumbufu wa kuulizia na kusepa mbona nao siwaoni??
Nini maoni yako kuhusu hili?
Kuhusu app na mabadiliko