Maboresho ya kupatana app yamefanya nisipate wateja

Mr Chromium

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2020
Posts
2,761
Reaction score
3,835
Nimekua nikitumia hii app ya kupatana kwa muda

Nimekua nikiuza na kununua vitu mbalimbali!! Ila tangu ilivofanyiwa mabadiliko ya app/web sijauzaa hata bidhaa moja hata niweke bei ya chini kuliko uhalisia sipat simu wala kuulizwa!!

Binafsi walinikera walivoibadili!! coz walibadili kila kitu muonekano,taratibu za kupost na kudesign tangazo,,,sikupenda nikasimama kwamuda hata kuitumia

Sasa niliporudi tena ndio nmekutana na tatzo la wateja kuto kunitafuta ninapoweka tangazo !! Najiuliza watu wengi wameacha kutumia?? Au bundle imekua gharama watu hawaingii?

Au maisha magumu watu wananunua chakula tu?

Lakini je wale wasumbufu wa kuulizia na kusepa mbona nao siwaoni??

Nini maoni yako kuhusu hili?

Kuhusu app na mabadiliko
 
Haya marekebisho waliyoyafanya naona bado hayakidhi mahitaji ya watumiaji. changamoto ndo zimeongezeka badala ya kupungua ila kwakua bado wanaendelea na marekebisho ngoja tuone mwisho utakuaje.
 
Wateja wangu wote wamepotea!!

Yaani imekua kama App mpya vile
 
nimekua nikitumia hii app ya kupatana kwa muda

Nimekua nikiuza na kununua vitu mbalimbali!!
Ila tangu ilivofanyiwa mabadiliko ya app/web sijauzaa hata bidhaa moja hata niweke bei ya chini kuliko uhalisia sipat simu wala kuulizwa!!

Binafsi walinikera walivoibadili!! coz walibadili kila kitu muonekano,taratibu za kupost na kudesign tangazo,,,sikupenda nikasimama kwamuda hata kuitumia

Sasa niliporudi tena ndio nmekutana na tatzo la wateja kuto kunitafuta ninapoweka tangazo !!
Najiuliza watu wengi wameacha kutumia??
au bundle imekua gharama watu hawaingii?

au maisha magumu watu wananunua chakula tu??

Lakin je wale wasumbufu wa kuulizia na kusepa mbona nao siwaoni??

Nini maoni yako kuhusu hili?
Kuhusu app na mabadiliko
Hakuna app mbovu sasa hv kama kupatana na tangu wamefanya maboresho ndio wamezid kuiharibu ata mm nimeifuta japo nilikuwa mtumiaji mzuri sana wa hyo app lakn kwa sasa sina kazi nayo.
Wengi wameacha kuitumia maana imekuwa na mwonekano mbovu sana, aliewashauri ndio kawapoteza sokoni ata mapato nahisi yamepungua sana.
 
Walibidi wasiibadili ila waboreshe baadhi ya tuvipengere
 
Wameharibu, mimi nimeacha kabisa kutumia kupatana sasa hivi, yaani App haieleweki, ukitaka kutafuta kitu ni shida yaani mwonekano na utendaji wameharibu.

Ni bora wangeacha kama mwanzo tu.
 
Itakuwa hawajafanya user experience kwanza, una design kitu halafu mtumiaji anapata experiencw mbaya usitegemee atarudi tena
 
Wameharibu hasa kwenye web ukipiga next inakuletea unascroll kuanzia chini kwenda juu ukifika juu unabid urudi chini kupiga next Tena Yan wameharibu sana hata color mbaya
 
Hii design yao mpya ni majanga yaani, huwezi ku search kwa location, title Za bidhaa zinaonekana nusu nusu, yaani zote app yao na website na utumbo tu saivi. Imebidi nifute tu app
 
Labda na wao wanastruggle kupata mauzo na faida. Online business platforms kwa Tanzania bado ni kizimkuti sana, ndio maana hata Jumia maisha yamewashinda hapa kwetu
 
Nimekua nikitumia hii app ya kupatana kwa muda

Nimekua nikiuza na kununua vitu mbalimbali!! Ila tangu ilivofanyiwa mabadiliko ya app/web sijauzaa hata bidhaa moja hata niweke bei ya chini kuliko uhalisia sipat simu wala kuulizwa!!

Binafsi walinikera walivoibadili!! coz walibadili kila kitu muonekano,taratibu za kupost na kudesign tangazo,,,sikupenda nikasimama kwamuda hata kuitumia

Sasa niliporudi tena ndio nmekutana na tatzo la wateja kuto kunitafuta ninapoweka tangazo !! Najiuliza watu wengi wameacha kutumia?? Au bundle imekua gharama watu hawaingii?

Au maisha magumu watu wananunua chakula tu?

Lakini je wale wasumbufu wa kuulizia na kusepa mbona nao siwaoni??

Nini maoni yako kuhusu hili?

Kuhusu app na mabadiliko
wameharibu

1.hasa walipo limit picha mwisho tatu.
2.unaletewa matangazo ya miez miwili nyuma badala ya kutumiwa/kuona matangazo mapya
 
si wanataka kujiunga na Zoom tanzania au ni nyingine?
 
wameharibu

1.hasa walipo limit picha mwisho tatu.
2.unaletewa matangazo ya miez miwili nyuma badala ya kutumiwa/kuona matangazo mapya

Na hili ndo tatizo, hata filter zao hazifanyi kazi. Yaani ukifilter matangazo ya Dsm bado unaona ya mikoa mingine
 
Back
Top Bottom