RESOLVED Maboresho yafanyika katika Kituo cha Segerea (Dar es Salaam), mashimo yazibwa

RESOLVED Maboresho yafanyika katika Kituo cha Segerea (Dar es Salaam), mashimo yazibwa

Imefanyiwa kazi au kupatiwa ufumbuzi na Mamlaka husika

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Julai 15, 2026, Mdau aliandika hoja kuhusu miundombinu ya Kituo cha Segerea kinachohudumia daladala za maeneo mbalimbali kuwa ina hali mbaya, alieleza kuwa imeharibika na kwamba hiyo haikuwa mara ya kwanza kuibuliwa kwa hoja hiyo.

Hoja ya awali ~ Stendi ya Segerea - Dar kimeo sana, miundombinu mibovu, mvua ikinyesha ndio balaa kabisa

Hivi karibuni eneo la kituo hicho limeonekana kuwa katika mazingira mazuri, yale mashimo yaliyokuwepo awali yamezibwa japokuwa si kwa kiwango cha juu lakini kuna unafuu mkubwa tofauti na ilivyokuwa awali.
WhatsApp Image 2026-10-19 at 12.13.07.jpeg
WhatsApp Image 2026-10-19 at 12.13.09.jpeg
WhatsApp Image 2026-10-19 at 12.13.08.jpeg
WhatsApp Image 2026-10-18 at 10.51.44.jpeg
WhatsApp Image 2026-10-18 at 10.51.43.jpeg
 
Uzuri serikali huona jimbo la segerea lina wapinzani wengi kuliko wana ccm hata miundombinu yake mibovu ukiachana na vingunguti palipo kua na meya kumbilamoto segerea yote imeoza s kimanga changombe bonyokwa nk
 
Back
Top Bottom