Julai 15, 2026, Mdau aliandika hoja kuhusu miundombinu ya Kituo cha Segerea kinachohudumia daladala za maeneo mbalimbali kuwa ina hali mbaya, alieleza kuwa imeharibika na kwamba hiyo haikuwa mara ya kwanza kuibuliwa kwa hoja hiyo.
Hivi karibuni eneo la kituo hicho limeonekana kuwa katika mazingira mazuri, yale mashimo yaliyokuwepo awali yamezibwa japokuwa si kwa kiwango cha juu lakini kuna unafuu mkubwa tofauti na ilivyokuwa awali.
Uzuri serikali huona jimbo la segerea lina wapinzani wengi kuliko wana ccm hata miundombinu yake mibovu ukiachana na vingunguti palipo kua na meya kumbilamoto segerea yote imeoza s kimanga changombe bonyokwa nk