Chukua vyeti vyako vya hisa ulivyopewa na DSE uliponunua hizo hisa,nenda Kwa broker mfano Orbit securities ,utawaachia na akaunti namba baada ya siku Moja au mbili unapata mpunga wako.Lakini Kwa gawio hilo mbona inalipa kwanini usiziache mkuu uendelee kula dividend annually!Mkuu uliuzaje Hisa?mimi ninazo NMB Bank na mwaka huu Juni nilipata gawio la Tsh. 545,000,naamini 2024 gawio litafika 700,000,nataka niuze Hisa zangu NMB,naomba muongozo
Nimetoa mfano tu mkuu, nitake radhiKumbe kuna warangi humu
Suala sio kuzidiwa na wateja , ukweli ni kwamba hii benki ya CRDB siku hizi huduma zake zimekuwa hovyo sana. Mfano mwingine ni lile Tawi lao la Oysterbay, mteja ukiingia pale ni kana vile waona ndio wanakufanyia favour ya kukupa huduma!! Hawajui kahusu mambo ya customer care, kazi yao kutoka toka nje kwenda kupiga Simu huku wakiwaacha wateja ndani bila huduma.Nendeni bank zenye wateja wachache,hao CRDB wameshazidiwa na idadi ya wateja wa kuwahudumia,hakuna ufanisi tena wala kusikilizwa
Nimeshahama siku nyingi hio bank nyie endeleeni kutesekaSuala sio kuzidiwa na wateja , ukweli ni kwamba hii benki ya CRDB siku hizi huduma zake zimekuwa hovyo sana. Mfano mwingine ni lile Tawi lao la Oysterbay, mteja ukiingia pale ni kana vile waona ndio wanakufanyia favour ya kukupa huduma!! Hawajui kahusu mambo ya customer care, kazi yao kutoka toka nje kwenda kupiga Simu huku wakiwaacha wateja ndani bila huduma.
Hapo nyuma kulikuwa na Manager akiitwa Juliana huduma ilikuwa nzuri na wafanyakazi waliwajali wateja lakini siku hizi sivyo, itabidi kuhamisha fedha kwenda NMB basi!
Waweke kwenye kinyeo chako?mbona mashoga mnakuwaga mnajifanya wajuaji hivi!! Ungekaa kimya ungepatwa na Nini?Mnalia lia sana,hili nalo la kuleta hapa?
Ni sahihi mkuu Branch ile haieleweki Kwanza pako Rafu vibaya mno hapana mpangilio mzuri kama Branch ZingineNajua nikitoa hapa kero yangu hapa Jukwaa la Fichua Uovu, kero yangu itafika kwa wahusika.
Kero yetu/yangu kubwa ni kwa Wahudumu wa CRDB Tawi la Gongo la Mboto lililopo pale Mzambarauni Kiukweli, Dar es Salaam, wale wahudumu ni wasumbufu na wanakera mno.
Nitoe kisa kimoja, Jumanne ya Novemba 28, 2023 nilienda pale kuchukua kadi yangu mpya baada ya kupoteza ya zamani,
nilitumiwa SMS tarehe 25 Nov kwamba kadi ipo tayari nikachukue pale.
Basi nikaomba ruhusa kazini kwamba nitachelewa kufika kwa saa kadhaa, nikaahidi hadi saa nne Asubuhi.
Nilifika mapema Benki na kulazimika kusubiri wafungue, ulipofika muda wao wa kufungua hakuna hata mpangilio mzuri unaotuongoza wateja, haijulikani usimame wapi, wahudumu wanashindwa hata kuwapanga wateja.
Ilipofika zamu yangu nikawaeleza shida kilichonipeleka pale, wakauliza nilipata SMS, nikawaambia ndio na kuwaonesha.
Basi mhudumu mmoja akaingia ndani kutafuta kadi, alikaa huko kuanzia saa mbili hadi saa tano hakutoka, wakati huo mimi nimeaga kazini kuwa saa nne nitaingia wa kuwa nilijua ni suala la kwenda kuchukua kadi tu.
Basi nikaondoka bila huduma, kiukweli huduma ya pale hovyo sana wahusika wajue hilo.
Msiba uko nida kawe pale dada Moja Ana nata sana hasalimii wateja alikuta watu wako nje ya mlango yeye kaja kuchelewa kapita hakuwapa salaam raia wali maind kaja kuchelewa masaa 2 watu wako pale kaja late kaanza chat na kusubir chai
mpaka leo sijawai ifuata pale CRDB ya Kawe kanisani sijui wanatengeneza mazingira ya rushwaNajua nikitoa hapa kero yangu hapa Jukwaa la Fichua Uovu, kero yangu itafika kwa wahusika.
Kero yetu/yangu kubwa ni kwa Wahudumu wa CRDB Tawi la Gongo la Mboto lililopo pale Mzambarauni Kiukweli, Dar es Salaam, wale wahudumu ni wasumbufu na wanakera mno.
Nitoe kisa kimoja, Jumanne ya Novemba 28, 2023 nilienda pale kuchukua kadi yangu mpya baada ya kupoteza ya zamani,
nilitumiwa SMS tarehe 25 Nov kwamba kadi ipo tayari nikachukue pale.
Basi nikaomba ruhusa kazini kwamba nitachelewa kufika kwa saa kadhaa, nikaahidi hadi saa nne Asubuhi.
Nilifika mapema Benki na kulazimika kusubiri wafungue, ulipofika muda wao wa kufungua hakuna hata mpangilio mzuri unaotuongoza wateja, haijulikani usimame wapi, wahudumu wanashindwa hata kuwapanga wateja.
Ilipofika zamu yangu nikawaeleza shida kilichonipeleka pale, wakauliza nilipata SMS, nikawaambia ndio na kuwaonesha.
Basi mhudumu mmoja akaingia ndani kutafuta kadi, alikaa huko kuanzia saa mbili hadi saa tano hakutoka, wakati huo mimi nimeaga kazini kuwa saa nne nitaingia wa kuwa nilijua ni suala la kwenda kuchukua kadi tu.
Basi nikaondoka bila huduma, kiukweli huduma ya pale hovyo sana wahusika wajue hilo.
acha crdb iwe chambo wengine wastuke ,.kusema tukae kimya tutateseka hadi lin , mimi huu mwaka wa pili sijachukua kadi yangu pale Kawe kanisani na sizani kama wametengenezaMkuu tuwalaumu CRDB lakini kwa uzoefu wangu hapa Tanzania Benki zote ni za hovyo sana, tena sana.. Wamezidiana tu kiwango cha Uhovyo..
Zote customer care zao zina mashaka.. Sorry to say!
Tz kunasehemu hamna wahindi afu kunabenk?Tatizo hizo bank ukienda kondoa hupati tawi, tunalazimika kuwa CRDB na NMB kwa sababu ya coverage. Sasa DTB eneo kama hamna wahindi basi hamna tawi
Nyingi tu, hasa vujijiniTz kunasehemu hamna wahindi afu kunabenk?
Si wanapeana ajira kwa kujuana.Yaani hii bank siku hizi ni kama matawi yote yana shida. Unaweza kuta kuna madirisha ya tellers 4 au 5 lkn mhudumu ni mmoja tu