DOKEZO Mabosi wa Benki ya CRDB Tawi la Gongo la Mboto someni kero hii ya wafanyakazi wenu

DOKEZO Mabosi wa Benki ya CRDB Tawi la Gongo la Mboto someni kero hii ya wafanyakazi wenu

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mkuu uliuzaje Hisa?mimi ninazo NMB Bank na mwaka huu Juni nilipata gawio la Tsh. 545,000,naamini 2024 gawio litafika 700,000,nataka niuze Hisa zangu NMB,naomba muongozo
Chukua vyeti vyako vya hisa ulivyopewa na DSE uliponunua hizo hisa,nenda Kwa broker mfano Orbit securities ,utawaachia na akaunti namba baada ya siku Moja au mbili unapata mpunga wako.Lakini Kwa gawio hilo mbona inalipa kwanini usiziache mkuu uendelee kula dividend annually!

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
CRDB michosho sana,wanaconive na waajiri kutoa mikopo Kwa mikataba bandia ya ajira.Ukitokea mgogoro kati ya mwajiri na mwajiriwa wanashirikiana na mwajiri dhidi ya mwajiriwa.Nilipata hiyo changamoto na nikataka waje CMA kuonesha tu mkataba kwamba wananidai Kwa dhamana ya mkataba wa ajira hadi mkopo uishe.CRDB hadi mkataba wangu wa ajira waliuficha .

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Hapo Sasa hujaenda kuweka au kutoa hela utaingia saa mbili na utatoka saa Sita pale ni kwikwi
Ni wanaitana TU majina utasikia kaka Alex dada Judi wanaingia na kutoka mule ndani
 
Mimi nimeshahama hao siku nyingi sana. Mabenki yote haya.
 
Nendeni bank zenye wateja wachache,hao CRDB wameshazidiwa na idadi ya wateja wa kuwahudumia,hakuna ufanisi tena wala kusikilizwa
Suala sio kuzidiwa na wateja , ukweli ni kwamba hii benki ya CRDB siku hizi huduma zake zimekuwa hovyo sana. Mfano mwingine ni lile Tawi lao la Oysterbay, mteja ukiingia pale ni kana vile waona ndio wanakufanyia favour ya kukupa huduma!! Hawajui kahusu mambo ya customer care, kazi yao kutoka toka nje kwenda kupiga Simu huku wakiwaacha wateja ndani bila huduma.
Hapo nyuma kulikuwa na Manager akiitwa Juliana huduma ilikuwa nzuri na wafanyakazi waliwajali wateja lakini siku hizi sivyo, itabidi kuhamisha fedha kwenda NMB basi!
 
Nimeshahama siku nyingi hio bank nyie endeleeni kuteseka
 
hawa watu wameshindwa kazi

kuna sehemu watu wanahama(katavi na tabora ) nimeona vyama vya msingi vinavyo jihusisha na kilio cha tumbaku na vina kopa toka CRDB vimehama kwa wingi kutokana na huduma mbovu

pia suala la uhaba wa dola naona limewatikisa sana hawa jamaa
 
Najua nikitoa hapa kero yangu hapa Jukwaa la Fichua Uovu, kero yangu itafika kwa wahusika.

Kero yetu/yangu kubwa ni kwa Wahudumu wa CRDB Tawi la Gongo la Mboto lililopo pale Mzambarauni Kiukweli, Dar es Salaam, wale wahudumu ni wasumbufu na wanakera mno.

Nitoe kisa kimoja, Jumanne ya Novemba 28, 2023 nilienda pale kuchukua kadi yangu mpya baada ya kupoteza ya zamani,

nilitumiwa SMS tarehe 25 Nov kwamba kadi ipo tayari nikachukue pale.

Basi nikaomba ruhusa kazini kwamba nitachelewa kufika kwa saa kadhaa, nikaahidi hadi saa nne Asubuhi.

Nilifika mapema Benki na kulazimika kusubiri wafungue, ulipofika muda wao wa kufungua hakuna hata mpangilio mzuri unaotuongoza wateja, haijulikani usimame wapi, wahudumu wanashindwa hata kuwapanga wateja.

Ilipofika zamu yangu nikawaeleza shida kilichonipeleka pale, wakauliza nilipata SMS, nikawaambia ndio na kuwaonesha.

Basi mhudumu mmoja akaingia ndani kutafuta kadi, alikaa huko kuanzia saa mbili hadi saa tano hakutoka, wakati huo mimi nimeaga kazini kuwa saa nne nitaingia wa kuwa nilijua ni suala la kwenda kuchukua kadi tu.

Basi nikaondoka bila huduma, kiukweli huduma ya pale hovyo sana wahusika wajue hilo.
Ni sahihi mkuu Branch ile haieleweki Kwanza pako Rafu vibaya mno hapana mpangilio mzuri kama Branch Zingine
 
mpaka leo sijawai ifuata pale CRDB ya Kawe kanisani sijui wanatengeneza mazingira ya rushwa
 
Mkuu tuwalaumu CRDB lakini kwa uzoefu wangu hapa Tanzania Benki zote ni za hovyo sana, tena sana.. Wamezidiana tu kiwango cha Uhovyo..

Zote customer care zao zina mashaka.. Sorry to say!
acha crdb iwe chambo wengine wastuke ,.kusema tukae kimya tutateseka hadi lin , mimi huu mwaka wa pili sijachukua kadi yangu pale Kawe kanisani na sizani kama wametengeneza
 
Tulichukua mkopo baada ya kukamilisha process yote wahusika wa kuweka hiyo hela kwenye account zetu bila rushwa hawaweki. soon nitaihama hii bank ishakuwa ya kifala sana tofauti na nyuma
 
Back
Top Bottom