Hao masekretari hao, mmoja alinifanya niache kibarua kwa ghafla ingawa bosi ndo alikuwa mzinguaji kupindukia! Na mimi alisema nimemdharau wakati hatujawahi hata kusalimiana(ndo alikuwa amehamia tu).Binafsi niliwahi itwa Ofisini Kwa Boss na Kuambiwa eti kwanini nimemdharau wakati hata sijawahi Kuwaza Kumdharau.
Kumbe Taarifa alizopeleka PS wake jinsi ya Kuziwasilisha kaziwasilisha sivyo Kabisa. Kiukweli niliharibiwa siku nzima, nikawaza saana ila nikawasamehe wote Mungu ndiye anajua ya Moyo wangu.
Kwa Upande wa Boss nikajua ni Inferiority Complex maana ni Mwanamke, ila PS nikajua Elimu yake Ndogo na Kakosa hekima namna ya Kuwasilisha Jambo kwa Boss wake.
Daah, pole saana Mkuu!Hao masekretari hao, mmoja alinifanya niache kibarua kwa ghafla ingawa bosi ndo alikuwa mzinguaji kupindukia! Na mimi alisema nimemdharau wakati hatujawahi hata kusalimiana(ndo alikuwa amehamia tu).