K koryo1952 JF-Expert Member Joined Mar 7, 2023 Posts 1,289 Reaction score 2,199 Aug 5, 2025 #1 Hongera sana Mhe. Maboto kwa kuongoza kura za maoni ya CCM Bunda Mjini. Sasa haki itendeke. Tusije tukaona mtoto wa Wassira akiteuliwa kuja kugombea Jimbo la Bunda mjini. Nasisitiza tena. haki itendeke. Aliyeshinda apewe haki yake.
Hongera sana Mhe. Maboto kwa kuongoza kura za maoni ya CCM Bunda Mjini. Sasa haki itendeke. Tusije tukaona mtoto wa Wassira akiteuliwa kuja kugombea Jimbo la Bunda mjini. Nasisitiza tena. haki itendeke. Aliyeshinda apewe haki yake.